Etwege
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 7,207
- 17,674
Anajifariji tuKwa mchango huu,huu uzi ufutwe ama ufungwe.
Uliyoyaandika ndio "ukweli na nusu" na uhalisia mtupu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anajifariji tuKwa mchango huu,huu uzi ufutwe ama ufungwe.
Uliyoyaandika ndio "ukweli na nusu" na uhalisia mtupu.
Tobaaaa!!!Ni kupoteza Muda tu
Paul Makonda is backTobaaaa!!!
Kusoma vitabu ni kupoteza muda!!??
CCM imeharibu watu wake kupindukia, ndio maana wana CCM zaidi ya asilimia 80 hawana maarifa.
Usiposoma wengine watasoma, siyo lazima wewe ukisome. Hao mnaowaita mashoga wala hata hawana habari na nyie. Tumieni akili propaganda za uongo wa kishamba wakati wake umepita, wenye akili watakuchekeni.Siwezi kupoteza muda kusoma uchafu wa mashoga ya wazungu
Taabu ya wenye ufinyu wa kufikiri ni kukaririshwa mambo na kuvimba nayo. Kama ulimpenda wewe inatosha, usiwasemee wengine. Pengine wewe ndiye mpuuzi kuliko hao unaowaita wezi na mafisadi.Vijana kwa wazee, waliowahi kumchukia Hayati Magufuli, ni wapuuzi, wezi, mafisadi na wauza madawa, nani mwenye akili timamu ashadadie kijigazeti cha kijinga hicho?
Kila atakayekupendwa na watu dizaini yao, lazima awe kama wao, akubali nchi itafunwe, iwe jalala la madawa ya kulevya, wajinga wote walio kwenye msululu huo, awape uwaziri hata kama hamnazo!
Upuuzi huo uishie kwa wanaume wa Dar!
Paul Makonda is backUsiposoma wengine watasoma, siyo lazima wewe ukisome. Hao mnaowaita mashoga wala hata hawana habari na nyie. Tumieni akili propaganda za uongo wa kishamba wakati wake umepita, wenye akili watakuchekeni.
Kwani lini ulianza kusoma?Siwezi kununua uchafu
Sasa Si kimedoda?Sasa kama wewe husomi kwanini unawasemea wengine?..Hawakukuandikia weww kwahiyo waache walioandikiwa watajua wenyewe.
Sasa umejuaje kinamchafua bila hata kukisoma, je kama kinamsifia?Siwezi kupoteza muda kusoma uchafu wa mashoga ya wazungu
Alichukua kama toilet pepaKwani lini ulianza kusoma?
Akina nani?Sasa kama wewe husomi kwanini unawasemea wengine?..Hawakukuandikia weww kwahiyo waache walioandikiwa watajua wenyewe.
Inategemeana na aina ya maandishiSio kila kitabu nichakuuza, vingine vipo kwa ajili ya kufikisha ujumbe au taarifa kwa walengwa. Kwa sababu maandishi yataishi muda mrefu, kwa hiyo wewe unayadharau sasa, ila yatasomwa miaka mingi ijayo.
Hebu weka softcopy tuone kama kimedoda.Sasa Si kimedoda?
Nasikitika kwa jinsi CCM ilivyofanikiwa kwa kiasi kikubwa katika kuwafanya misukule wafuasi wake.Paul Makonda is back
General Sabaya is back
Kwa mtaxamo wakoIla mnampenda sana Marehemu. Yule jamaa angewageuza marehemu kama Mchungaji Mackenzie.
Natafuta kile kitabu nikisome, ule upembuzi uliopoatiwa hapa jukwaani ulikua murua sana.
Kilichozungumzwa mle ni facts tupu kwa ile session Moja TU niliyosoma
Baba yako ni shoga na unajua. Kama unawaita watu hivyo, hasi nawewe maa yako ni shoga wa kikeSiwezi kupoteza muda kusoma uchafu wa mashoga ya wazungu
Hata wenye maduka wamekiilkataa maana hakina biashara zaidi kitakudodeaKitabu ni hot cake kimeisha madukani. Bei 22,000 na hakipo