Mauzo ya kitabu cha kumchafua Hayati Magufuli yadoda

Mauzo ya kitabu cha kumchafua Hayati Magufuli yadoda


Imethibitika Sasa rasmi kwamba kijitabu kinachoitwa I'm the State kilichoandaliwa na mafisadi kwa ajili ya kumchafua Rais wa awamu ya tano Hayati Magufuli na legacy yake mauzo yake yamedoda mtaani baada ya kupuuzwa na Watanzania.

Hao waandishi uchwara walishaonywa mara nyingi kwamba hamna nguvu wa pesa itakayomchafua Magufuli, Watanzania siyo vilaza kama watu wa ufipa walivyo wanajua yupi ni kondoo na yupi ni mbwa mwitu ndani ya ngozi ya kondoo.

Hao waandishi vilaza wanajua fika legacy ya Magufuli ipo kila mahali, baharini na nchi kavu, angani na aridhini, bungeni na serikalini na inaendelea kwa kasi ya ajabu.
Haaaaa hiyo research uliifanyia wapi !.
 
Huwezi kusoma kitabu cha kumchafua mtu halafu ukategemea uwe desicion maker au uko na taasisi private halafu utoboe.
Hata motivation speakers hawatumii mbinu hiyo. Mbinu ya chuki ni WAXHAWI tu ndio hutumia ndio maana HAWAFANIKIWI.
Duniani kote watu wanasema uwe na Positive Mind Attitude(PMA).
Bado nasema hivi aliyeandika HATOBOI. Witchcraft science hadi leo haisomeki. Yaani kama hakuona fursa kipindi cha JPM ni kipofu huyo. Hata hao wazungumza kiingereza aliolenga wamenunua copy ngapi? Wazungu wanasema Think positive yeye anasema the opposite ndio sawa. Rubbish
Fursa za chuki,uongo,uaji,majivuno,kusifu na kuabudu ndiyo zilikuwepo kwa wingi kipindi cha utawala wa jiwe.
 
Back
Top Bottom