Mauzo ya kitabu cha kumchafua Hayati Magufuli yadoda

Daaah,wakupe maua yako,watu mnamanenooo!.
 
WENGINE ndo hao ,wanajifanya wanajua uongozi,mwisho wa siku wanaingiza nchi kwenye mgao
 
Paul Makonda is back
General Sabaya is back
Yes, they are back so what? Baadhi ya watanzania wamekuwa kama misukule wanashabikia maovu. Si kwamba kurudi kwao kuna faida kwa wananchi. Samia kwa sasa anajiendea kama mfa maji hajui pakushika, kila sehemu ni pa Moto. Hii strategy aliyokujanayo ya mara kuwapa watu vyeo hadi wengine unaibu waziri mkuu na huku akiwarudisha wateseji wa watu kundini inaweza kuipasua CCM zaidi kuliko kuwakomoa wapinzani. Mbaya zaidi wananchi wengi watamchukia, msimdanganye mitandaoni.
 
Chukuwa maua yako. Hapo ndipo tulipofikia Watanzania
 
Hiki kitabu na waandishi wake kitawala ubongo, hadi washindwe kupumua na wapalanganyike.
 
Huwezi kusoma kitabu cha kumchafua mtu halafu ukategemea uwe desicion maker au uko na taasisi private halafu utoboe.
Hata motivation speakers hawatumii mbinu hiyo. Mbinu ya chuki ni WAXHAWI tu ndio hutumia ndio maana HAWAFANIKIWI.
Duniani kote watu wanasema uwe na Positive Mind Attitude(PMA).
Bado nasema hivi aliyeandika HATOBOI. Witchcraft science hadi leo haisomeki. Yaani kama hakuona fursa kipindi cha JPM ni kipofu huyo. Hata hao wazungumza kiingereza aliolenga wamenunua copy ngapi? Wazungu wanasema Think positive yeye anasema the opposite ndio sawa. Rubbish
 
Hangaya atakinunua na kukisambaza bure vituo vya daladala.

Huyo na yule hawakuwahi kupatana. Speeches zake zinasema.


Wapinzani wake wamepania kuzitumia kwenye kampeni
 
Mkuu kinapatikana wapi na Mimi nikakinunue?
Nadhani watu wasiogope kukinunua, wakinunue wakisome ili wajue ukweli ulio ndani yake.
Tusisahau Hayati Magufuri pamoja na Mazuri mengi aliyofanya, alikuwa binadamu, alikosea!
Hakuna Rais asiyekosea, Nyerere alifanya mazuri lakini alikosea, Mwinyi alifanya mazuri lakini alikosea, hali kadharika Mkapa na Kikwete!
Kila Mtanzania anayekisoma atashangaa kama hicho kitabu kimeandika mabaya ya Hayati JPM bila kuangalia Mazuri mengi aliyofanya!
 
Toilet pepar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…