wepson
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 831
- 219
Habarini wana JF
Hapaleo ninashida ya kuongelea jambo moja.
Leo nipo ofisini kaja mdada mmoja nguo aliyovaa daah imeniacha bumbuaz yaani imemchora hadi .
Unaiona ilivyo sasa huu ndio utandawazi au kunakitu fulani kimejificha wanaume bado hatukitambui na mkikipata mtabadilika na kuvaa vizuri?