Mavazi dada zetu nyie

Mavazi dada zetu nyie

Kwahiyo maisha ya ulaya mnaleta bongo hahahaaaaaaa du Biblia imeshasemaninyi ni viumbe dhaifu na tuishi nanyi kwa akili
SHINDWE WACHAFU NINYI
MCHAFU WEWE ... katika viungo vyote vya mwili ukaongelea papuchi tu mwone ... fedhuli mkubwa wee
 
Hebu mtuache tupumue jamani, mara nguo za kubana, mara tunapiga kelele, mara magari yetu machafu, mara tuangalie rangi za chupi tunapoenda kwenye mgegedo, sisi tu jamani, hebu.......

leo benteke kaja ooh tunakunywa mpaka tunashindwa kuongea ... watu ache kabisa kabisa
 
Last edited by a moderator:
Jamani jamani.........toka lini nanii ikiwa imejichora kwenye nguo ni zambi........?.......halafu hebu nieleze.......ilikuwa camel toe au pear.......?

ilikuwa kama kitumbua
 
Hahahahahha ram naona alipata mstuko alivyoona maeneo yamejichora sijui alikua anakagua gwaride ndo akaona afunguke vizuri
Hebu mtuache tupumue jamani, mara nguo za kubana, mara tunapiga kelele, mara magari yetu machafu, mara tuangalie rangi za chupi tunapoenda kwenye mgegedo, sisi tu jamani, hebu.......
 
Last edited by a moderator:
Vyote hivyo fanyeni nyie....

Na msipofanya tutaviweka kwenye katiba mpya ili mfanye...teh teh

Hebu mtuache tupumue jamani, mara nguo za kubana, mara tunapiga kelele, mara magari yetu machafu, mara tuangalie rangi za chupi tunapoenda kwenye mgegedo, sisi tu jamani, hebu.......
 
Habarini wana JF

Hapaleo ninashida ya kuongelea jambo moja.

Leo nipo ofisini kaja mdada mmoja nguo aliyovaa daah imeniacha bumbuaz yaani imemchora hadi .

Unaiona ilivyo sasa huu ndio utandawazi au kunakitu fulani kimejificha wanaume bado hatukitambui na mkikipata mtabadilika na kuvaa vizuri?

Ungembatanisha bandiki lako na picha tungekuelewa sana.....

Hapa tunajaribu kuingia kwenye mawazo yako....Maana wengine ofisi zetu ni Cassino...
 
Back
Top Bottom