Mavazi dada zetu nyie

Mavazi dada zetu nyie

mkuu ndio muelekeo una sikitisha
th

Ha ha ha ha ndio maana kuna actress mmoja hivi ni wolper au uyoya sijui uwoya alisema havaagi!!

Sent from my iPad Air using JamiiForums
 
Habarini wana JF

Hapaleo ninashida ya kuongelea jambo moja.

Leo nipo ofisini kaja mdada mmoja nguo aliyovaa daah imeniacha bumbuaz yaani imemchora hadi .

Unaiona ilivyo sasa huu ndio utandawazi au kunakitu fulani kimejificha wanaume bado hatukitambui na mkikipata mtabadilika na kuvaa vizuri?

Raha ya kuvaa hovyo tena uwe na Mguu mzuri na Big ASSet sio nyuma flat screen ya singsung,, au unavaa pedo afu Miguu kama miswaki ya miti

Sent from my iPad Air using JamiiForums
 
Habarini wana JF

Hapaleo ninashida ya kuongelea jambo moja.

Leo nipo ofisini kaja mdada mmoja nguo aliyovaa daah imeniacha bumbuaz yaani imemchora hadi .

Unaiona ilivyo sasa huu ndio utandawazi au kunakitu fulani kimejificha wanaume bado hatukitambui na mkikipata mtabadilika na kuvaa vizuri?
Wadada zetu wakivaa hivi, utaanza kusikia kelele nyingi na kejeli kibao ati ooh oo o..
 
Back
Top Bottom