Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
Nimeona attachment nafungua haifunguki...aah
Attachment plz
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Attachment plz
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Habarini wana JF
Hapaleo ninashida ya kuongelea jambo moja.
Leo nipo ofisini kaja mdada mmoja nguo aliyovaa daah imeniacha bumbuaz yaani imemchora hadi .
Unaiona ilivyo sasa huu ndio utandawazi au kunakitu fulani kimejificha wanaume bado hatukitambui na mkikipata mtabadilika na kuvaa vizuri?
huwa sivai ila napenda kuona wanavaa na hata marafiki zangu nawasapoti wavae hasa wenye mzigo mkubwa nyuma
Eleza vizuri kwani ulijisikiaje?
mkuu we endelea na kazi zako...hao wameshashindikana
Vyote hivyo fanyeni nyie....
Na msipofanya tutaviweka kwenye katiba mpya ili mfanye...teh teh
Wapo kwenye evolution ya kuelekea kutembea UCHI kama ilivyokuwa Stone Age...
aiyaaa, unaharibu sasa, inabidi na wewe uvae vifupi vya kubana, usiogope kama hauna mzigo nyuma mbele lazima utakuwa nao, wengine ugonjwa wetu manyonyo!
mtuache tena ukome kusema sema mfyuuu
Miss chaga kote we unatetea kule kwa wananawake walevi umetetea, huku mnvaa zinabana mpaka papuchi inakuwa imejichora nako unatetea
Mtuache tufanye tunavyotaka si kutunyima nyima
Halaf miss chagga nikijaga ofisini kwako wakati unanyanyuka kunisindikiza huwa unashushashusha kimini chako unanikatia stimu ujue...Nikija tena wakati unanyanyuka kwenye kiti usishusheshushe tena banah wacha nifaidi niondie dukuduku..Ninaonaga soo kukwambia ila hope ukipita hapa utachange
Huku kwa kutuonyesha papuchi, na mapaja punguzeni tafadhali, vijana wana wazini sana mawazoni mwao na kwenye punyeto zao lol
Wapo kwenye evolution ya kuelekea kutembea UCHI kama ilivyokuwa Stone Age...
ewaaaaa..mambo si ni hayo? Ngoja nipange safari!Usijal sasa hivi nitakuwa napandisha juu kidogo