Mavazi dada zetu nyie

Mavazi dada zetu nyie

mkuu ndio muelekeo una sikitisha
th
 
Hebu mtuache tupumue jamani, mara nguo za kubana, mara tunapiga kelele, mara magari yetu machafu, mara tuangalie rangi za chupi tunapoenda kwenye mgegedo, sisi tu jamani, hebu.......

Hayo mengine ni 'private' ukiacha la nguo za kubana.
Ila hili la kugeuza magari kuwa 'warehouse' tutalisema tena na tena ili mbadilike. Unakuta gari lina bidhaa zote zipatikanazo dressing table, midoli, nusu ya nguo za kabatini, viatu n.k., hapo hujapita shopping sokoni bado. Loh! Hata kama ni lako, hii sio haki kabisa.
 
Ahahahahh, sasa gari yangu, makolokolo yote yaliyomo humo ni yangu, wewe kwa nini unaumia jamani
 
Habarini wana JF

Hapaleo ninashida ya kuongelea jambo moja.

Leo nipo ofisini kaja mdada mmoja nguo aliyovaa daah imeniacha bumbuaz yaani imemchora hadi .

Unaiona ilivyo
sasa huu ndio utandawazi au kunakitu fulani kimejificha wanaume bado hatukitambui na mkikipata mtabadilika na kuvaa vizuri?

uliona nn mkuu

Jiwe limerushwa gizani atakayelia ujue limempataa.... hahahaa POLENI LADIES
 
Last edited by a moderator:
Hebu sema uljskiaje na mwl wako uliitikiaje muonekano wa vaz lake. Na nyinyi wanaume muachage imbea wa kutazama sana, khaaa. Mtu unashangaa kama nn sjui umeona nn. Mkashangae feri sh inazama panton inaelea
 
tatizo wadada wengi hawajui wavae nini na wapi,utawakuta beach wamevaa suti,kitandani wanalala na manguo,mtaani wanavaa night dress ,kanisani wanavaa kama wanaenda shambani
 
mkiukweli mi sioni la ajabu hapo coz mwanamke wa karne ya 19 ni tofauti na ss wa karne ya 21 eleweni na muende sawa na wakati. :A S clock:
 
mkiukweli mi sioni la ajabu hapo coz mwanamke wa karne ya 19 ni tofauti na ss wa karne ya 21 eleweni na muende sawa na wakati. :A S clock:
daa huoni cha ajabu mtu papuchi limejichora tena halitamanishi wala nii Nakumbuka Nilikua na mpenzi wangu mzungu DUU nilishindwa kitu kimoja yeye alikua anavaa vizuri sana ila hasira mzee noma unaweza kimbia nikasepa GERMANY Kwa hiyo anayezani mi mtoa maada labda sijatembea asijidanganye kule kwanza wanawake wajiheshim sana hasa ujeruman na wanajua kupenda sana, nahata ukicheki wajerumani wanavyotokelezea ni tofauti na waMAREKANI KAMA MTU NABISHA ALETE HOJA YAKE HAPA wanawake wengi bongo wanaiga american style ndizo zinazofanya watuonyeshe MAPAPUCHI yao ya ajabuajabu hapa ShINDWA PEPO WA BAYA
 
Back
Top Bottom