miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
Mmmmmmmmh!
mtuache tena ukome kusema sema mfyuuu
Tembeeni uchi basi kama mnaona fasheni.
mkuu ndio muelekeo una sikitisha
Habarini wana JF
Hapaleo ninashida ya kuongelea jambo moja.
Leo nipo ofisini kaja mdada mmoja nguo aliyovaa daah imeniacha bumbuaz yaani imemchora hadi .
Unaiona ilivyo sasa huu ndio utandawazi au kunakitu fulani kimejificha wanaume bado hatukitambui na mkikipata mtabadilika na kuvaa vizuri?
Mmmmmmmmmmmh
Wadada zetu wakivaa hivi, utaanza kusikia kelele nyingi na kejeli kibao ati ooh oo o..Habarini wana JF