kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,305
- 6,341
Salamu wadau!
Mara nyingi nimekuwa nikifuatilia mchezo Wa mieleka (WWE) nimeona asilimia kubwa ya mavazi na maviatu yao yanafanana na yana maurembo urembo yanayotaka kufanana. Hivi kabla ya kuvaa vile vichupi vyao kuna kitu/vitu huwa wanatanguliza ndani? Manake wote huwa vimewakaa sawa sawa havitetereki wala kuchanika pamoja na mikiki mikiki ile. Je kuna kampuni maalumu zinazotengeneza Yale mabuti na vile vinguo vyao? Na kwa nini wacheza mieleka wengi wana masauti makubwa makubwa na mapana kuna!? Kuna namna ya kutengeneza masauti membamba kuwa mapana!? Manake unakuta wacheza mieleka uliowaona zamani na sauti za kawaida ukija kuwaona tena baada ya muda mrefu wamebadilika miili na masauti. Au miili inaendana na masauti?