Mavazi na Sauti za wachezaji Wa mieleka

Mavazi na Sauti za wachezaji Wa mieleka

kidunula1

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2016
Posts
6,305
Reaction score
6,341
Salamu wadau!

Mara nyingi nimekuwa nikifuatilia mchezo Wa mieleka (WWE) nimeona asilimia kubwa ya mavazi na maviatu yao yanafanana na yana maurembo urembo yanayotaka kufanana. Hivi kabla ya kuvaa vile vichupi vyao kuna kitu/vitu huwa wanatanguliza ndani? Manake wote huwa vimewakaa sawa sawa havitetereki wala kuchanika pamoja na mikiki mikiki ile. Je kuna kampuni maalumu zinazotengeneza Yale mabuti na vile vinguo vyao? Na kwa nini wacheza mieleka wengi wana masauti makubwa makubwa na mapana kuna!? Kuna namna ya kutengeneza masauti membamba kuwa mapana!? Manake unakuta wacheza mieleka uliowaona zamani na sauti za kawaida ukija kuwaona tena baada ya muda mrefu wamebadilika miili na masauti. Au miili inaendana na masauti?
 
......unjustifiably in a position i'd rather not be in BUT the cream will rise to the top, I am the cream of the crop!......You are looking at the future of world wrestling right now.......!!

YOU HAVE TO LOVE THIS LEGEND!
 
nguo zao nadhani ni aina ya materials wanayotumia vitambaa vigumu sio kama hivi vya kawaida

kuhusu kiwanda nadhani huwa wanacho mlemle ndani ni kuweka oda tu idadi na aina ya nguo au chupi,nyeramumu kofia unayoitaji wanakutengenrzea
 
Wanapata lishe ya uhakika,mafunzo maalumu na tiba sahihi katika kuendeleza hiyo kada,pamoja na maelekezo ya kuongea pale jukwaani;kuhusu mavazi hata magari zipo kampuni zinatengeneza kufuatana na uhitaji wao.
 
Siyo sauti tu, hata wale wenye sura nzuri huziharibu kwa michoro na kufuga madevu angalau waonekane wa kutisha
 
FB_IMG_1532352204167.jpg
 
WCW Monday Nitro akina Randy Savage aka Macho Man, Hulk Hogan, big sexy Kevin Nash, Scot Hall, Konan, kulikuwa na Lex Luger, Rick Flair, the Giant baadae Big Show, Kevin Green, Rowdy Piper, Jeff Jaret, Steve Mango MacMichael na Queen Debra, hahaha Yokozuna Steiner brothers hawa walikuwa na vigimbi mikononi, na Sting! Iron Sheikh, na Earth quake hahahaha hoi ilikuwa burudani tosha
 
Hulk anazeeka sasa
 
RAY MYSTERIO(sijui kama nimepatia kuandika jina lake) huyu naye ni ana sauti pana?
Angalia walio wengi ndugu,yaani unakuta hadi "Shaun Michaels" cjui inaandikwa hivyo,anasauti yenye mitetemo hivi pamoja na kamwili kake ka kawaida
 
nguo zao nadhani ni aina ya materials wanayotumia vitambaa vigumu sio kama hivi vya kawaida

kuhusu kiwanda nadhani huwa wanacho mlemle ndani ni kuweka oda tu idadi na aina ya nguo au chupi,nyeramumu kofia unayoitaji wanakutengenrzea
Umenchekesha ulivyosema nyeramumu
 
Back
Top Bottom