Kabisa beste huwa wanonyesha hadi live. Huwa ni siku ya jumatatu kwa Raw na Jumanne kwa Smackdown. Na mechi kubwa huchezwa jumapili pia unaweza kupata kwa channel za free to Air ila imekuwa kazi kidogoLabda ufuatiliaji hafifu,nna dstv
Sema ashazeekaHuyu mwamba atapambana na Triple H tarehe 6/10. Bonge la pambano.
CMPunk sauti yake ya kawaida tu.Angalia walio wengi ndugu,yaani unakuta hadi "Shaun Michaels" cjui inaandikwa hivyo,anasauti yenye mitetemo hivi pamoja na kamwili kake ka kawaida
Get these hands….