Mavazi ya kikahaba yanikosesha kupata mume

Kwa hiyo Yesu au nabii issa siyo mwislamu tena???[emoji849][emoji849][emoji849]
 
Wanawake wengi wamepoteza heshima kwenye jamii na watu wanao wazungu na sababu ya kuvaa mavazi ya kihuni / kimalaya.

Wanawake wengi wanapoteza kukubalika kwa wanaume zao sababu ya mavazi yasiyo na staha.

Wanawake wengi wamepoteza kukubalika na watu hata kwa watoto wao na wale wanaowaongoza sababu ya mavazi yasiyo na staha.

Unakuwa kiongozi au mzazi/mlezi/Mwalimu /askari n.k. Ukienda uchi utatumia nguvu nyingi ktk kueleweka Na wanaokuzuunguka.
 
Kwaakili yako umesoma huo mstari mmoja nakuja kutuchimba nao biti maana unasoma Biblia Takatifu sio kwa minajili ya kujifunza bali kwaajili ya kuutukana Ukristo. Sasa Ustaadha wangu hebu soma kisa choooote alichokizungumzia Yesu Kristu halafu utaelewa lengo la huo mstari. Hata wewe unayejifanya mwema full nicab na hijabu unaweza kwenda jehanamu na ukapishana na hao unaowaona wadhambi wakielekea mbinguni. Mwenye masikio na asikie
 
Wewe kisome utupe somo la biblia.

Ukishindwa sisi tutakufundisha kidogo kidogo kwa tunayoyajuwa.
.
 
Hiyo mistari niliandika mimi?

Unamjuwa Tamari wa kwenye biblia?
 
Waswahili wanasema "bahati ya mwenzio usilalie mlango wazi" ukiona tabia hii inakukosesha mafanikio basi basilisha tabia ambayo itakayokuletea faida mapema.
 
Wewe kisome utupe somo la biblia.

Ukishindwa sisi tutakufundisha kidogo kidogo kwa tunayoyajuwa.
.
By the way Hujui chochite kuhusu Biblia Takatifu tofauti na ubishi tu. So siwezi kumkufuru Mungu wangu kwakubishana na mtu ambaye atanipotezea muda na kuniingiza dhambini. Pambana tu bibi
 
Biblia siyo gazeti.Wala so kitabu Cha hadithi/riwaya

Huo mfano maana yake usihukumu ukidhani wewe Ni msafi zaidi. Kwani hao unaowaona wachafu wanaweza kutubu na kubadilika wakawa wema na mbingu wakaiona.

Pili maana yake tusiwe wepesi wa kuhukumu wenzetu. Wakati pia sisi Ni wakosefu. Tumia mfano wa kibanzi na boriti.

Unaweza kudhani Ni msafi lkn mbele za mwenyezi Mungu ikawa kinyume.chukua mfano wa mafarisayo na watoza ushuru!

Maana ya mfano huo Ni kwamba hukumu Ni ya Mungu, wewe mwanaadamu Ni mchafu na mwenye makosa siku zote. Badala yake tuwaongoze tuwarekebishe wabadilike.Tusiwanyooshee kidole!

Mfano: Kama ww Ni msafi Basi na uwe wa kwanza kurusha jiwe.

Kama huna roho mtakatifu kwa akili zako tu huwezi kuelewa na kuitafsiri biblia, Ndiyo maana hata nikisikia mihadhara yawenzetu Waislamu wakiichambua Biblia naishia kucheka sababu najua hawajui chochote!

Na Ndiyo maana sipendagi kubishana nao sababu tutaishia kukwazana na pengine mwisho usio mwema.

Ni ngumu sana kwa akili za kawaida kuielewa mitano ya biblia na mifano ya Yesu Kristo.

Nb:Yesu Ni jina kuu lipitalo majina yote,kwalo mapepo,majini,wachawi na mkuu wao shetani wanatii! Hakuna jina kama hilo Ila jina la Yesu Kristo.

Amen! Case closed!
 
24 Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…