Mavazi ya kikahaba yanikosesha kupata mume

Mavazi ya kikahaba yanikosesha kupata mume

Kwa tafsiri ya maadili ya jamii yetu hayo mavazi si ya kimaadili uvaliwa na makahaba ili kuvutia wanunuzi wa ngono.
Kila vazi utafsiri aina ya kazi ya mvaaji.
Kama Sio kahaba kwann uyavae
Embu weka picha tuone, maana Ulaya wanavaa hayo hayo kanisani
 
Me mwenyewe mpenzi wangu anavaa kuvutia watu wengne kwangu mimi hanivutii na sijui nilimpendaje kama hanivutii na sina lengo nae lolote sio kwa ubaya maana yeye ndo anataka sema atakaemuoa ataenjoy 😀😀😀😀 siku zote midoli ya mapambo hainunuliwi wakuu huwa inasifiwa pale na kushikwa then inaachwa mwambie hata huyo avae vizur hakuna cha kuna wanaovaa vibaya zaid yake bad wanaolewa na asijifananishe nao kama hatak asubiri awavutie wanaokuja kwa ajili ya kumchezea kama alivyosema full stop
 
Kwani mavazi ya kikahaba ni yapi jamani, mbona mnanichanganya?

Je ni kweli mavazi ya kikahaba yanamfanya msichana kutopata mume?

Mbona wanawake wanaokaa uchi wameolewa sana mpaka na kuacha na kuolewa mara ya pili? Je, kupata ndoa ni lazima uvae mavazi kama staha?

Skia hii:
Shouger: Money Penny, nimeenda kuombewa kanisani nikaambiwa kupata mume nibadilishe mavazi nayovaa!

Money Penny: Kwani unavaa mavazi gani?

Shouger: Navaa suruali, skirt fupi, gauni za kuni shape, skirt ndefu, leggings, nikaambiwa nivue hayo mavazi ni ya kikahaba ndio maana wanaume wanaonifuata kama mvua, lakini hawako serious wanakuja kunichezea na kukimbia na mimi nataka kuingia kwenye ndoa sasa!

Lakini money penny mbona kuna makahaba wanavaa ovyo zaidi yangu lakini waliolewa, wakaolewa, na kuolewa na wameolewa hata zaidi ya mara 4? kwani shida ni nini wakati mimi sivai kama wao?

Kwani mavazi ya kikahaba ni yapi? ina maana mavazi ya kikahaba ndio yananikosesha kupata mume?

Haya njooni mumjibu mwenzenu na kumuongezea akili.


Alienda kuombewa au kushauriwa mavazi ya ku attract mwanaume wa kumuoa?
 
Back
Top Bottom