Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuwekee pmukiweka wanatoa!
Acha kupotosha na kuleta ujuaji feki.Msitudanganye hapa, huko kanisani si ndiyo mnafundishwa kuwa kahaba ndiyo wa kwanza kwenda mbinguni?
Mathayo 21:31
..Yesu akawaambia, Amin nawaambia, watoza ushuru na makahaba wanatangulia mbele yenu kuingia katika ufalme wa Mungu.
Sasa kwa mafunzo hayo ya kwenye biblia nani akukataze ukahaba kanisani? Kwani hatuwaoni mnavyovaa mkienda makanisani?
Msitudhani hapa JF sote tu wajinga kama nyinyi mnaofanya ukahaba eti mtatangulia ufalme wa Mungu!
Au biblia ilimaanisha kwa ukahaba mtakufa mapema? Maana utaendaje kwenye ufalme wa Mungu kabla hujafa? Fikiri.
Acha kutetea udhaifu wa bibilia hapa walikosea sana kuandika hivi coz wanawapa moyo watendao mabaya wakibadilika wanakuwa watu wa mungu huu ni upambavu ambao hata choon haunyeki,,, mimi sio mkiristo wala muislam, mtu wa din yoyote mwenye ubinadamu napokea mawazo yake mazuriAcha kupotosha na kuleta ujuaji feki.
Pale Yesu aliongelea TOBA.
Mathayo 21:28
Lakini mwaonaje? Mtu mmoja alikuwa na wana wawili; akamwendea yule wa kwanza, akasema, Mwanangu, leo nenda kafanye kazi katika shamba la mizabibu.
Mathayo 21:29
Akajibu akasema, Naenda, Bwana; asiende.
Mathayo 21:30
Akamwendea yule wa pili, akasema vile vile. Naye akajibu akasema, Sitaki; baadaye akatubu, akaenda.
Mathayo 21:31
Je! Katika hao wawili ni yupi aliyefanya mapenzi ya babaye? Wakamwambia, Ni yule wa pili. Basi Yesu akawaambia, Amin nawaambia, watoza ushuru na makahaba wanatangulia mbele yenu kuingia katika ufalme wa Mungu.
Mathayo 21:32
Kwa sababu Yohana alikuja kwenu kwa njia ya haki, ninyi msimwamini; lakini watoza ushuru na makahaba walimwamini, nanyi hata mlipoona, hamkutubu baadaye, ili kumwamini.
We mtoto usharudi shule??Tuwekee pm
Mbona mwakanisa yetu ya Ulaya ndio wanavaa
Mbona mwakanisa yetu ya Ulaya ndio wanavaa
kaka unaishi kijijini au?Siyo mavazi rekebisha kwanza tabia kwakua ni lazima ulianza kuharibika ndani kabla ya kuharibika nje
mavazi ya kikahaba hujaanza tu kuyavaa ghafla kabla hujaanza kuwa na tabia hiyo ya kika-haber
sio kweli!Alivyo nje mtu ndivyo alivyo ndani ulizia Wana saikolojia wa Tabia watakuambia
kha!Me mwenyewe mpenzi wangu anavaa kuvutia watu wengne kwangu mimi hanivutii na sijui nilimpendaje kama hanivutii na sina lengo nae lolote sio kwa ubaya maana yeye ndo anataka sema atakaemuoa ataenjoy 😀😀😀😀 siku zote midoli ya mapambo hainunuliwi wakuu huwa inasifiwa pale na kushikwa then inaachwa mwambie hata huyo avae vizur hakuna cha kuna wanaovaa vibaya zaid yake bad wanaolewa na asijifananishe nao kama hatak asubiri awavutie wanaokuja kwa ajili ya kumchezea kama alivyosema full stop
hata sielewi nimetamani kumjua mchungaji wake!Alienda kuombewa au kushauriwa mavazi ya ku attract mwanaume wa kumuoa?
weee!Nao ni waasi tu kama hao wengine.
Ni machukizo.
Biblia huna uwezo wa kuifasiri. Biblia inakuhitaji ushukiwe na Roho Mtakatifu ndipo utaweza kuifasiri na kuyaelewa mafumbo yaliyomo humo.Msitudanganye hapa, huko kanisani si ndiyo mnafundishwa kuwa kahaba ndiyo wa kwanza kwenda mbinguni?
Mathayo 21:31
..Yesu akawaambia, Amin nawaambia, watoza ushuru na makahaba wanatangulia mbele yenu kuingia katika ufalme wa Mungu.
Sasa kwa mafunzo hayo ya kwenye biblia nani akukataze ukahaba kanisani? Kwani hatuwaoni mnavyovaa mkienda makanisani?
Msitudhani hapa JF sote tu wajinga kama nyinyi mnaofanya ukahaba eti mtatangulia ufalme wa Mungu!
Au biblia ilimaanisha kwa ukahaba mtakufa mapema? Maana utaendaje kwenye ufalme wa Mungu kabla hujafa? Fikiri.