Mavazi ya kikahaba yanikosesha kupata mume

Kwa tafsiri ya maadili ya jamii yetu hayo mavazi si ya kimaadili uvaliwa na makahaba ili kuvutia wanunuzi wa ngono.
Kila vazi utafsiri aina ya kazi ya mvaaji.
Kama Sio kahaba kwann uyavae
Embu weka picha tuone, maana Ulaya wanavaa hayo hayo kanisani
 
Me mwenyewe mpenzi wangu anavaa kuvutia watu wengne kwangu mimi hanivutii na sijui nilimpendaje kama hanivutii na sina lengo nae lolote sio kwa ubaya maana yeye ndo anataka sema atakaemuoa ataenjoy πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ siku zote midoli ya mapambo hainunuliwi wakuu huwa inasifiwa pale na kushikwa then inaachwa mwambie hata huyo avae vizur hakuna cha kuna wanaovaa vibaya zaid yake bad wanaolewa na asijifananishe nao kama hatak asubiri awavutie wanaokuja kwa ajili ya kumchezea kama alivyosema full stop
 


Alienda kuombewa au kushauriwa mavazi ya ku attract mwanaume wa kumuoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…