Mavazi ya kikahaba yanikosesha kupata mume

Huo ndo ukweli,mavazi hayo ya Kikahaba yanawakosesha watu wengi kupata waume wa kuoa, na hata wakiolewa ndoa zao hazidumu,kwani wengi wao huwa wameolewa na majini mahaba,na wanafanya ngono kwenye ndoto! Hivyo ulivyoambiwa ndivyo ilivyo vaa mavazi ya staha utapata mme fasta
 
Acha kupotosha na kuleta ujuaji feki.
Pale Yesu aliongelea TOBA, akimaanisha kuwa mtenda dhambi akitubu husamehewa na Mungu.

Mathayo 21:28
Lakini mwaonaje? Mtu mmoja alikuwa na wana wawili; akamwendea yule wa kwanza, akasema, Mwanangu, leo nenda kafanye kazi katika shamba la mizabibu.

Mathayo 21:29
Akajibu akasema, Naenda, Bwana; asiende.

Mathayo 21:30
Akamwendea yule wa pili, akasema vile vile. Naye akajibu akasema, Sitaki; baadaye akatubu, akaenda.

Mathayo 21:31
Je! Katika hao wawili ni yupi aliyefanya mapenzi ya babaye? Wakamwambia, Ni yule wa pili. Basi Yesu akawaambia, Amin nawaambia, watoza ushuru na makahaba wanatangulia mbele yenu kuingia katika ufalme wa Mungu.

Mathayo 21:32
Kwa sababu Yohana alikuja kwenu kwa njia ya haki, ninyi msimwamini; lakini watoza ushuru na makahaba walimwamini, nanyi hata mlipoona, hamkutubu baadaye, ili kumwamini.
 
Acha kutetea udhaifu wa bibilia hapa walikosea sana kuandika hivi coz wanawapa moyo watendao mabaya wakibadilika wanakuwa watu wa mungu huu ni upambavu ambao hata choon haunyeki,,, mimi sio mkiristo wala muislam, mtu wa din yoyote mwenye ubinadamu napokea mawazo yake mazuri

"Ubinadamu ni bora kuliko udini

Wote tumezaliwa kwa mimba ya miezi 9" udin ustutawale
 
Siyo mavazi rekebisha kwanza tabia kwakua ni lazima ulianza kuharibika ndani kabla ya kuharibika nje

mavazi ya kikahaba hujaanza tu kuyavaa ghafla kabla hujaanza kuwa na tabia hiyo ya kika-haber
kaka unaishi kijijini au?
 
kha!
 
Wapo ma she wanavaa ajabuajabu ila hawana roho mbaya na tabia zao zimenyooka..nishawahi ona she za hivyo mingi tu.

Lakini kwanini unatukosea tutajadili vp bila macho kupata chakula yake? Unatukosea sana ☹️
 
Biblia huna uwezo wa kuifasiri. Biblia inakuhitaji ushukiwe na Roho Mtakatifu ndipo utaweza kuifasiri na kuyaelewa mafumbo yaliyomo humo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…