Mavazi ya kuvaa wakati wa kutoa mahari na kuvalisha mchumba pete

Kwa mwanaume
Vaa suruali ya kitambaa ya kijani, shati la njano na tai nyekundu
Ni vyema uka vaa viatu vya pinki vya kawaida.
Asante kwa mchango wako.
 
Si kwamba ni kutokujua hasha, ni kusaidiana kujua fashion nzuri ili kupendezesha shughuli mkuu
Vaa shati la blue la mikono mirefu lisiwe bwanga.
Suruali nyeusi isiwe bwanga.
Viatu vya brown au vyeusi vya kamba vitakua poa zaidi.
Usivae cheni wala soksi.

Usivae tai, unaweza kushikwa joto ukashindwa kuivua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…