Designer_3434
JF-Expert Member
- Dec 4, 2015
- 4,901
- 3,941
Ahsante mkuu nimejifunza kitu kutoka kwako l.Kwa upande wa kinywaji hata kama unakunywa pombe siku hiyo usinywe unaweza kunywa juice au maji usiwe mtu wa kuchezea simu muda wote usivae nguo za kung'aa sana kama mti xmass