Mavazi ya kuvaa wakati wa kutoa mahari na kuvalisha mchumba pete

Mavazi ya kuvaa wakati wa kutoa mahari na kuvalisha mchumba pete

habari..
ningependa kujuzwa mavazi yapi yanapendeza kuvaliwa siku ya utambulisho wa mke na mme mtarajiwa kwa wazazi..mwenye picha itakua vizuri zaid
ahsante,
 
Mwanaume: vaa suti nyeusi kali na viatu vyeusi, kata nywele zako vzur kiheshima uko tyr. Mdada nae avae nguo yk simpo tu rangi ya gold inapendeza kwa sherehe ya kuvishana pete
 
5bfbf4ab07ee77fbf69ade192111cee6.jpg


Vaa hivyo
 
Ingia instagram sikuiz engagement nyingi sanaa hutakosa cha kuvaa
 
Just be yourself......utakuwa huru na utaponya mengi ya sasa na ya baabdae.
 
Back
Top Bottom