Mavazi ya kuvaa wakati wa kutoa mahari na kuvalisha mchumba pete

Mavazi ya kuvaa wakati wa kutoa mahari na kuvalisha mchumba pete

Wakuu naomba msaada wa kujua nguo/fashion nzuri ya nguo za kuvaa za Me na Ke kwa mtu anaetoa mahari na kuvalishana pete.
Najua kuna wazoefu wa matukio kama haya.
Asanteni.
Kama mtaweza kununua kitenge then mwende kwa designer atawatolea bonge la nguo believe me
 
Nadhani angalia na mazingira mliopo! Kama anakuvalisha kanisani basi shona nguo yako ya kitenge ya heshima.., mavazi yanategemea na sehemu na familia mlizotoka
 
Back
Top Bottom