Mavazi ya kuvaa wakati wa kutoa mahari na kuvalisha mchumba pete

Vaa suruali nyeusi(yaani pure black ya kushonesha iendane na mwili wako), shati zuri la kitenge mikono mirefu( la kushonesha) usichomekee, vaa viatu vyeusi vya kufunga na kamba, vaa soksi nyeupe, ni vizuri ukatupia na saa inayotight mkono sio inayochezacheza mkononi, usivae kofia wala miwani. Ni hayo tu Jomba langu
 
Asante sana kwa mchango mzuri.
 
Mkuu wangu hongera sana kwenye mahari usivae suti tafuta shati plain lenye rangi za kawaida nyeusi, kijivu itakua poa zaidi suruali nyeusi, au rangi nyingine isiong'aa sana chomekea alafu vaa viatu vyeusi si vya kamba, siku ya engagement tafuta suti single batani nyeusi na shati jeupe bila kusahau neck-tie nyeusi na viatu vyeusi, baada ya kumaliza nialike tujumuike pamoja.
 
Asante sn, nataka iwe two in one mahari na engagement.
 
We jiandae na pete na hela tu vaa suruali na shati basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…