Mavazi ya kuvaa wakati wa kutoa mahari na kuvalisha mchumba pete

Kwa upande wa kinywaji hata kama unakunywa pombe siku hiyo usinywe unaweza kunywa juice au maji usiwe mtu wa kuchezea simu muda wote usivae nguo za kung'aa sana kama mti xmass
Ahsante mkuu nimejifunza kitu kutoka kwako l.
 
Kwa mwanaume
Vaa suruali ya kitambaa ya kijani, shati la njano na tai nyekundu
Ni vyema uka vaa viatu vya pinki vya kawaida.
[emoji1] [emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji1] ur nt seriaz ...ongezea ifanyike mchana ktk jua Kali
 
vaa suruali nyekundu
shati jeupe mikono mirefu
kata nywele zako vizuri
tafuta viatu vizuri viwe vya kutumbukiza sio vya kufunga na kamba na miwani meusi
πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Vaa shati la kijani au njano na suruali nyeusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…