Mavazi ya Mchungaji Tony Kapola yachunguzwe

Hiyo ni tisa, kumi ni wale ma madame nao watavaa kitatanishi madhabahuni mwao na hakuna wa kuwakemea, kwanza ni warembo na wameumbika vizuri miili yao wataanza kuvaa nguo za kubana ili miili yao ionekane walivyojazia kila kona. Hawana sera ya mavazi makanisani mwao.
 
Binafsi si muumini wa kanisa lake wala wahubiri wowoe wa kisasa ila POVERTY MINDEST itatumaliza watanzania.

Umeangalia TD Jakes, Joyce Meyer,Joel Osteen. Pastor Chriss walivyo smart? Au hata hauwajui
Does it matter content VS mavazi na tunaongelea mavazi ya umri wake kama kijana hajavaa kata K, hajavaa nguo zenye maandishi mabaya , hajavaa any thing inayosaire alarm

Yani unateseka na pastor anaehubiri , watu wakatoa sadaka willingly , na yeye anapendeza kweli tuko kizazi cha zama za chuma. Nimeamini ile makala inayosema maskini wanaongoza kwa chuki na roho mbaya (iko humu jukwaa hili itafute) . Let us critique things of " significance" sio hizi petty nonessentials.

Nimesikiliza mahibiri yake - really hata Muislam au asieamini anasaidika , ni spritual na yanalenga kumpambanua mtu kiuchumi na kiutashi. Unaposema tumuabudu Mungu wa Ukweli ni yupi? wewe ukiabudu wa ukweli tutaona kwa matunda ya roho njema, utu wema, nk - watu walipendeza tangu enzi za biblia .

Bado leo tunataka pastor avae suti ya kitenge ? it was good back then but who prevents them from looking smart? Aisee ushamba na umaskini wa fikra kwa kizazi hiki changanya na wivu ni formula mbaya sana ya kuua nchi. Au unatesekea na huduma gani mwenzetu? Kama unaamini utumishi ni kuvaa magunia , excellent vaa ila heshimu na wengine na choices zao. Heal from that trauma and belief mkuu , live and let others live si hawajakuaffect kwenye utafutaji wako.

Unajua how expensive nguo za mapadri ziko? Za wachungaji wengine wa makanisa ya protestant?

Elegance ya mtu inaashiriwa na smartness ya mavazi, clarity of mind na soul sasa kaa hapo uki judge watu kwa mavazi thinking you are holier than thou.


Pana famous quote yaweza kukusaidia "Always dress like its the best day of your life"
 
Umenena vyema mkuu.
 
Alipokuwa Morogoro Kila siku Vazi lake lilikuwa ni Suti tu,Lakini alipohamia Dar es Salaam Mavazi yamebadirika,rejea Clip zake zilizompa Umaarufu zilikuwa na Mafunzo Mengi mazuri ya Maisha.!
 
Alipokuwa Morogoro Kila siku Vazi lake lilikuwa ni Suti tu,Lakini alipohamia Dar es Salaam Mavazi yamebadirika,rejea Clip zake zilizompa Umaarufu zilikuwa na Mafunzo Mengi mazuri ya Maisha.!
Kumbe huyu jamaa inawezekana sio mchungaji bali ni motivational speaker anayetumia motivations zake kupitia biblia.
 
Hapana! Wala simfatilii
Ila naamini kuna wadada wapo kanisani kwake sababu wanavutiwa na mchungaji
Na yeye lazima awafurahishe sababu analijua hilo
Wanatamani siku moja awatongoze eeh?
 
Sasa watu kama kina Joyce Meyer wapo smart namna Gani, mtu anayefundisha tattoo sio dhambi, hivi watu mnasoma Biblia Gani, Au ni mwendo wa kwenda tu, mmekuwa nyumbu sio?
 
Sasa watu kama kina Joyce Meyer wapo smart namna Gani, mtu anayefundisha tattoo sio dhambi, hivi watu mnasoma Biblia Gani, Au ni mwendo wa kwenda tu, mmekuwa nyumbu sio?
Pambana kuweka misingi katika familia yako- na jibu hoja kwa hoja usitumie matusi nk ,jibu tu hoja kwa hoja- katu mwenye hekima hatumii matusi . Usiteseke na huduma za wengine -the world cant conform to your beliefs . Dunia ya leo pambana na uchoamini , ishi na misingi yako ukikomaa na judgement utateseka sana. Yani tuna safari ndefu kuanza kuwaza mavazi VS content . Pengine hata content zake huelewi . Peace!!
 
Yaani kuelekezwa kwenye misingi unajitetea nahukumu?
I can't argue on such shit
 
Nikajua anavaa kiajaaabu sasa kijana kajipigilia pamba za vunja bei mnaanza dis!

Ila Wabongo ni watu wanaopenda kupangia watu namna ya kuishi na lifestyle kiujumla,
Kiufupi sijaona mavazi ya Pastor yaliyopasa kufunguliwa uzi yaani mtu amepoaaaaa kijana ana inspire vijana waende kwa sir God wakiwa hawana lawama wala mawaa ila still kuna wazee wanakuja na mitazamo ya kila pastor avae kama Ngumbaru old stylez

Anyway ukiona huelewi mambo ya Pastor Tony nakushauri uende kwa Pastor Maghembe!
😁😁
 
Yaani kuelekezwa kwenye misingi unajitetea nahukumu?
I can't argue on such shit
Its true you cant argue here, neither capable to do so- it needs a mature mind, an exposed demeanor and a wider perception to issues . Misingi ni yako- the world doesn't revolve around your beliefs and regulations- your interpretation of holy books are yours , stand on them , excel on them and let others do their deeds . Dress codes aren't a measure of ones faith and discipleship.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…