Mavazi ya Salma Msangi akiwa kazini jana hayafai

Status
Not open for further replies.
Ha ha ha ha, wewe na OLESAIDIMU ni wambea sana, mie nimeona miguu imetumbukia kwa mbele nikajichekea tu.

 
Last edited by a moderator:
Kha!!!! Muguu umekauka kama mbao za 2by2. Loh maumbile mengine yakufichia kwenye madira amekauka: kama anakunywa JIK
Umenikumbusha lile tangazo sijui la godoro gani vile, amevaa suruali utasema imetungikwa kwenye mti (ngongoti). Halafu anavaa utasema kalazishwa au huwa ameahidiwa mamilioni ya fweza?
 
maadili ni kitu cha msingi sana, anapaswakurejea Ethics za kazi yake zinampasa kufanya vipi!!
Mapendekezo ya Katiba mpya yanapendekeza nchi yetu iwe na Maadili, Utu au Tunu, lakini Wabunge wengine na Vyama vyao hawataki kusikia kabisa kitu kama hicho katika Katiba! Tutafika kweli?
 
Nchi yenyewe haina mila wala desturi utamlaumu Nani? unawezaje kumkataza mtu huyo wakati channel zinaonesha wamiss kuliko vile. upumbavu mtupu wamiss unatizama wewe unakaa na wazazi wako unafurahi na kutabasamu mbona hujapinga hata jamii forums wakakusikia na vyombo vya serekali vinaupa upaombele na sio hiyo tu ata michezo ya kibongo uchafu mtupu ukitazama ndani huwezi kaa peke seuze na mzee wako. ujinga mtupu..
 
Kha!!!! Muguu umekauka kama mbao za 2by2. Loh maumbile mengine yakufichia kwenye madira amekauka: kama anakunywa JIK

Acha kuua hivyo ndugu! Wenzio wanafanya dayati kufika hapo mkuu
 


Ni kweli kabisa kama wewe ulivyokwenda kukopi Avatar ya ovyo na kuiweka hapo
 
salma msangi shame msisahau historia ya jamii (familia) na tamaduni zenu jamani
 
mh...kasura kazuri lakini hizo fito hapana kwakweli..ni bora uendelee kuvaa mahijabu yako utaheshimika sana kwani nani angejua unafito?
 

Mwanamke akiwa na tunyama twa kushikia jeans isidondoke inapendeza sana! kakauka sana jamani hana mvuto kabisaaa!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…