Mavazi ya staha/kujistiri/kishamba yanakubalika na wanaume kuliko wadada tunavozania!!

Mavazi ya staha/kujistiri/kishamba yanakubalika na wanaume kuliko wadada tunavozania!!

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Posts
15,700
Reaction score
29,164
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1

Times have change and are still changing! But some issues just prove to be Time resistant!!!!!!! Stubborn! ........!!!!!

I always thought LESS is SEXY and preffered!!!!!!!!! The more you expose, the more you look sexy and the more they wanna see!!!! Basi nikajua nothing turns on men than bare female sikin, clothes tight hugging the figure, the shorter the skirt the better!!!!!!!! I still believe some that even now! The likes of Gaga, Riri and Twinkering Mistress show skin all the time for some reason! There got to be a reason!!!!!!!!

Sasa kutokana na majangas, japo mguu wa bia bado ninao vimini na short dresses hazivaliki or else nitageuka centre of attention! Umefanyaje? Pole! Mama yangu! Blah blah blah! Imenidi niwe natupia supra za 1960's mwanamke charanga babu eeeh! Mwanamke staha ndani ya dera siju dira, bazee, trouser pana hizi!!!!!!1 Sasa haya mavazi yana codes zake, huwezi tupia dera afu ukawa shankupe shankupe inabidi unapoa kidogo kama maji ya mtungi! Unasalimia, unakuwa na nizamu haswaaa! Charanga yake topu ya mikono mirefu! In short imebidi niwe najifunika gubi gubi kuficha marazi! Mwanzoni nilikuwa napata shida joto hili, afu najistukia watu wataniona hata nina 50yrs kisa miguo tu! Basi sina amani!

Ila i came to realise kuwa hii miguo ndo mpango mzima! More is preferred! Tena wanaume (ningesema wanaume wa maana mnge report abuse! LOL) wanapenda vibaya mnooo swgga hizi! Yaani toka nianze routr za hosipital ndani ya hiziswagga maisha yangu yamekuwa maraisi sanaaa! Kwanza ma Dr wananiwaisha kwenye folleni. Binti pole sanaa! Unaonekana mstaarabu sanaa! Wanakagua vidole, bila bila, sasa ngoja nikusaidie baadae ananiachia namba! Moyoni nasema ama kweli nimejivalia ngozi ya kondoo! Corridor utasikia dada acha nikusaidie pochi hilo, pole sanaa! Nikienda canteen nalipiwa tu bili! Nikisimama nje ya moi pale kungoja dreva ageuke lift zasimama kutaka kunisogeza!!!!!!! Hahahaaaaaaaa! Like seriosly????????? Kubadili mavazi kumenifaa si kidogo! People just treat me like im a different person! I am enjoying every bit of it while it lasts!!!!!!!!

I never knew looks could be deceiving! Hadi bi mkubwa wangu anafurahi na kutaka kunisindikiza! Ndo kusema trend ya ushamba inarudia??????? Ama kweli vimini vyake mcheza shoo! (No offence intended) Yaani mtu waonekana wa maana, mstaarabu! Hadi burudani! Wanaume hamsomeki kabisaaa! Sasa nini kinawavutia kwenye charanga? Kumbe mavazi nayo mnamind?
 
ukivaa nguo fupi kwa wanamme unaonekana kama 'starter', ukivaa nguo ndefu unaonekana kama 'main course and dessert'

lakin ukijaribu kaungalia nguo ndefu huwa inapendeza sana na haimkatai mtu.
angalia suruali huwez kukuta imemchukiza mtu lkn ona pedo kama mtu hana shepu, na mguu yaani ina mchusha mwisho wa matatizo
 
Vaa mamini yako huko wakati uko sokoni ukishawekwa ndani, lazima ujisitiri. Kama unanivalia vimini Hadi ndani hata kutangulizana na wewe marufuku
 
Ukivaa kiheshima you add life to men ukivaa kihasara unapunguza lifespan yao. Hongera nadhani utapata washamba wasiojua kubadilika mpaka kufa kwao.
 
Huo ndo ukweli kabisa my ex-jirani yangu, wanaume hatutaki mbwembwe kwa wake watarajiwa
 
Ila lara 1 umenifurahisha with ur positive attitude. Sijui kwa nini hupati mwanaume serious akuwowe hehehe. Yaaninunajua kujifariji hadi raha. Usijiachie ukasononeka bwana. Maisha mafupi haya. Let me enjoy minis' for as long as they last.

Ugua pole
 
Vaa mamini yako huko wakati uko sokoni ukishawekwa ndani, lazima ujisitiri. Kama unanivalia vimini Hadi ndani hata kutangulizana na wewe marufuku

hapo bold pamenionyesha kwamba bado hujui ladha ya mke.
mwanamke kuvaa kimini ndani mwake akiwa na mumewe ndio ladha yenyewe ya penzi, tena muda mwingine huwa tunashauri uvae kijikhanga chepesi kimoja umbile lako lionekane haswaa wakati unataka kuitafuta network.

utokapo nje sawa jistiri, na siku moja moja mtege mumeo haswa kama unatoka nae, unatupiamo zile za uchokozi ambazo ukikaa, kila unyanyukapo lazima akutupie jicho la mahaba......................
mwee hebu nisimalize yoe hapa mie sio ukumbi wangu huu
 
ha ha ha, kweli wewe stubborn, nimefurahi maana umeokoka. ....(ki kuleta mada)

Hahahhaaaaaaaaaa! Bado tunapima upepo!!!!!!!!!! Daaah! Times are changing mpaka humu MMU na sasa 1960's zimerudia! LOL!
yawn.gif
yawn.gif
yawn.gif
yawn.gif
yawn.gif
yawn.gif
yawn.gif
 
Mmmh!
Sio wote banaa. Mie nguo ndegu hazinipendezi hata paw ananiambia. Lol

usemacho ni kweli lkn bestiee nguo fupi za juu ya magoti kweli hupendeza wengi?? nadhani hizi hupendeza wachache sana tena wale wenye ngozi fulan yaani ile lainiii.

nguo ndefu hata wewe hukupendeza hasa kama itakubana yaani isiwe mtepeto ikibamba na mwili mbona utaniambia?? hata fupi usemazo wewe ni za magotini ambazo hizi nazo hupendeza wengi na hizi hazina neno sana
 
Ila lara 1 umenifurahisha with ur positive attitude. Sijui kwa nini hupati mwanaume serious akuwowe hehehe. Yaaninunajua kujifariji hadi raha. Usijiachie ukasononeka bwana. Maisha mafupi haya. Let me enjoy minis' for as long as they last.

Ugua pole

Hahahaaaaaaa! Mi wanaume seirous napata sana tu, kusemaza kweli, tatizo ile ni ONE WAY ROAD! LOL! Im still weighing my options!!!!!!!!!! Kind of! Hamna jema nyie, mtakuja kusema hapa Mume wa Lara 1 hana ishu! Mume suruali sijui alikosaaa yule ama alichotwa unyayo? Heheheeeeeeeee! Mnajema nyie?

Sijifariji wala nini leo kwenyewe bila kutupia Dera lile na shungi nisingemuona Dr. si masikhara!!!!!!!!!! Hadi kaja Dr. Udongo wa Dubai kanikuta nimejikunyata kwa bench nangaa sharubu ndo kunisaidia ado ado! Afu ishu ilikuwa complex, na kanisaidia tu! Je ningekuwa ndani ya hot pant American style! Heheheeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!

Japo vimini navyo vina raha yake, haswaa ukiingia mahali inakuwa kama umesema IM SEXY AND I KNOW IT, YOU CAN CLOSE YOUR MOUTH AND STOP STARRING AT ME! Heheheeeeeeeee!
 
wadau, YOUR APPEARANCE GIVES FIRST IMPRESSION, kwa hiyo ukivaa vimini wanaume wanakuchukulia KIMINIMINI(HAUJIHESHIMU) na kwa vile haujiheshimu hakuna mtu ambaye atakuwa tayari kukuheshimu.
Baadhi ya wanawake wanaona kuvaa nguo fupi ni kwenda na wakati lakini hamini usiamini mavazi huwa yanazungumza character ya mtu kwa percent fulani.
 
Back
Top Bottom