Mavazi ya staha/kujistiri/kishamba yanakubalika na wanaume kuliko wadada tunavozania!!

Mavazi ya staha/kujistiri/kishamba yanakubalika na wanaume kuliko wadada tunavozania!!

tupo wengi, lol!
sijawahi letewa zawadi ya nguo ndefu.......
na nikivaa nguo ndefu napata vijembe tangu chumbani...
Ila fupi zangu siyo zile za juu ya magoti.
Dera nilivalishwa kinguvu na rafiki yangu fulani eti aone nakuwaje nikivaa nguo ndefu.
Suruali bomba tu

ngoja nkutoe dada mkubwa kwenye ile sare ya madiraaaa looo ila siku hizi wananunua na kuyakata
 
sa hivi nitafatilia lakin sio kila mtu akivaa suruali anaapendeza otherwise tukifanya comparison

na uvaaji wa Pedo hapo sawa.......maana kuna mtu mwingine hajaujulia mwili wake lakin huyo yumo kwenye

masuruali huwezi kuniambia nae atakuwa miongoni mwa 'suruali inampendeza kila mtu'

mimi nilikuwa nafanya comparison kati ya suruali ambazo ni ndefu na pedo mnake nilitaka kuongelea cummulatively kwamba nguo ndefu zifit vyema kuliko nguo fupi
 
Nguo fupi ina raha yake ila nguo ila ikiwa fupi sana ni majanga.........utakuwa uncomfortable..

me i like wearing skirt zile fupi Maxi skirt hapo huwa naona nimeutendea haki mwili wangu..

But the thing with men anaweza kukwambia sipendi uvae nguo hizi lakin they wont stop staring to those woman

in SHORT SEXY DRESSES!!!!!huwa sielewagi kabisa

eeeeh! kweli kabisa!

unapigwapo na ka-hewa kidogo!!!

khaaa!!!

dsm joto bwana!
 
ndo maana lulu alisema......


nikivwaa nguo ndefu nawashwa!!!

kwa hiyo zile alizokuwa anavaa wakati yuko gerezani nae zilikuwa zinamuwasha!!!!!!!

she was looking for Justification tu hamna lolote......
 
RGforever mke waweza kum-mold wewe.
kama unapenda nguo zenye sitara na zinazopendeza basi ujue unatakiwa wewe ndio uanze kumvesha hizo.

siku hizi waume mnaharibu wake zenu wenyewe unakuta siku ya send off sanduku la bi harusi lnaletwa na vijisuti vimini, vigauni vibajaji, na kama suruali zile skin sasa unategemea nini??
kama wataka mke avae kwa sitara lazima kwanza hata siku ya kuoa uhakikishe sanduku lake linajaa nguo za stara nzuri zenye kumpendeza manake si mkeo huyo??
nakubaliana nawe rafiki.... Mune ana mchango wake kwenye mavazi ya mkewe.
Kama mume anapenda hivyo na zinakupendeza hakuna neno, sasa kama mume ananunua robo tatu ya kabati lako na ukiangalia ndo vigauni kama hivyo nilivyoweka hapo juu, kesho hata mimi nikienda kununua nguo nitanunua ya design hiyo, maana naona ndio anazozipenda na vile vile hainivunjii heshima mimi wala yeye
 
si kila mtu anatoshwa na suru-wale!!
VpsqVifzE6VkLjMSCXpGvKGYmClm w06O5ZL5jKxXDZRKiVLE FcRkxEIjHvtwF9rDe105va2ajtbDX BXTItD3zmGlMAAAAAElFTkSuQmCC
 
ngoja nkutoe dada mkubwa kwenye ile sare ya madiraaaa looo ila siku hizi wananunua na kuyakata
ha haaaaa, yaani mdogo wangu dira ninalo moja tu tena nilinunuliwa na rafiki yangu sare ya Dua huko milimani kwao. kina nikivaa naona kama nimevaa nguo ya mtu siyo yangu. Ila kwa kupungia hewa kibarazani yanafaa sana.....
kwani ndo unataka utuvishe madira kwenye KP yako? mweeeeeeeeeeeeeeeee!
 
hebu niambie akna dada wanaovaa pedo na wale wanaovaa suruali wepi wengi wao hutokelezea zaid?

Kwa men, pedo na suruali (wavaazo w'ke) hakuna tofauti sana. Amini hivyo, na ntaomba mtoa mada lara1 anisaidie ktk hilo, hapo ni vipi alimaanisha? Nafikiri kusema nguo ndefu ni nguo za kujisitiri. Na si suruali wala pedo zinazoingia kwenye kundi hili.
 
ha ha ha; did I say I saw u somewhere? Kwa picha hizi Confirmed! 🙂

nitakutesaje best!
yaani umeshanitesa sana best.... hujui tu!
haya kama una-enjoy kutesa mabest zako poa tu.
Au inabidi niapply ufeki, lol! mambo ya kuwa true haya hayafai kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
salama lakini best? snowhite alikuwa anakutafuta....
umeshapunguza kilo ngapi?
 
Last edited by a moderator:
ha haaaaa, yaani mdogo wangu dira ninalo moja tu tena nilinunuliwa na rafiki yangu sare ya Dua huko milimani kwao. kina nikivaa naona kama nimevaa nguo ya mtu siyo yangu. Ila kwa kupungia hewa kibarazani yanafaa sana.....
kwani ndo unataka utuvishe madira kwenye KP yako? mweeeeeeeeeeeeeeeee!

dira kwenye singwa jamani ha ha mjini raha
 
eeeeh! kweli kabisa!

unapigwapo na ka-hewa kidogo!!!

khaaa!!!

dsm joto bwana!

sio joto mi napenda tu kuvaa mavazi yanayoendana na mimi......

huwa nafeel good mimi mwenyewe tu......na nguo fupi ndio nahisi ni chaguo langu....

Nikisema fupi sio zileeeeee fupi hapana
 
mimi nilikuwa nafanya comparison kati ya suruali ambazo ni ndefu na pedo mnake nilitaka kuongelea cummulatively kwamba nguo ndefu zifit vyema kuliko nguo fupi

haya hapo sawa lakin all in all wote wanaweza kupendeza.....

au kuchusha.......kikubwa uujukie mwili wako vyema...............
 
Yaani ni maajabu, unakuta mkaka yuko so attracted na wewe kwenye charang, blose ya heshima, and he finds you sexy! Sasa kwa sie tuliozoea kuonesha ngozi unajistukia stukia like what is so attractive here? Uaangaza angaza mwilini mwako mara kadhaa! Ila ndo hivo tena! More is preferrefed to less!
 
Back
Top Bottom