lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,164
- Thread starter
- #21
ha haaaa, naona kuna about-turn ina-take place, lol!
nguo fupi pia zinatupendeza na wanapenda ila siyo zile za juu ya magoti na za kubana. kagauni kako kazuri kamefika magotini au chini kidogo, ka kitenge au cotton fulani bomba sana
Hahahaaaaaaa! Ndo hivo tena mambo ya kuwa Enemy of Change hayatakiwi!!!!!!!! Wenyewe wanasema If the cost of remaining stagnant is higher then its about time to change! LOL!
Nguo fupi banaa ukikaa inakuwa majangaaa ila kwa sie wa mjini ndo utamu wenyewe huo, full kuonesha mistari ya utamu kwenye mapaja! LOL!
Ila kweli zina sehemu yake, na ndefu zina sehemu yake! LOL!
Ila wanaume wanishangaza sanaaa, wakiona mtu katupia kijiguo cha uchokozi full kumkodolea macho, kumpa attention na nini, ila ndani ya charanga ama dera they become different people, they just have this certainty and confidence look in their eyes !!!!!!!!!
Like huyu mlugaluga ndio saizi yangu! LOL! The assume dominating position wakati kwenye vimino they assume subjective position!

