matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Kuna mabadiliko makubwa sana ya kasi katika tasnia ya mavazi hasa kwa mabrazameni na wadada wa kisasa.
Mavazi yanafanana kwa ukaribu sana kiasi kwamba inanipa tabu kujua jinsia hadi niangalie kifua kama anamaziwa au hana.
Vijana mjitahidi kupunguza kuigana wadada na wakaka. Mnasababisha mtanziko wa jinsia.
Niko natembea hapa mitaa flani, nikaona kijana amevaa nguo za kubanabana imebidi niongeze spidi ili nithibitishe jinsia kuja kumuangalia kumbe ni Dume.
Wakuu tuwasaidie hawa vijana, MZungu sio mtu mzuri anaweza kupindua matokeo muda wowote ukashangaa vijana wanaanza kuwakiana tamaa za kiLGBTQ.
Vaeni suti na mavazi ya maana ya kianaume.
Yangu ni hayo.