cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siku moja niliwahi kanisani, sina uongozi huko nikawa napanga watu wakae kulingana na jinsia zao kama ulivyo utaratibu wa kukaa wa kanisa hilo. Akaingia kijana mmoja akakaa upande wa wanaume, nikamuambia upande huu hawakai wanawake nenda kakae kwa wanawake wenzio, kumbe alikua mwanaume mimi sikujua kama yeye ni mwanaume kwa jinsi alivyovaa na mwonokano wake usoni vilinitatanisha nikajua ni mwanamke