Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Hapo ndo tatizo lilipo Dada yangu,Kwa infection control labour ward na acute care wanashauriwa kuvaa nguo za hospitali ambazo zinafuliwa na kupigwa pasi na kila asubuhi unapewa safi.
Rehabilitation na wagonjwa wengine kama wazee kuvaa nguo zao safi kunasaidia kujenga familiarisation na nyumbani pia inapunguza gharama za ufuaji kwa hospitali
Hizo kanga zenyewe haziwezi kuleta infection? Kama sababu ndio hiyoKwa infection control labour ward na acute care wanashauriwa kuvaa nguo za hospitali ambazo zinafuliwa na kupigwa pasi na kila asubuhi unapewa safi.
Rehabilitation na wagonjwa wengine kama wazee kuvaa nguo zao safi kunasaidia kujenga familiarisation na nyumbani pia inapunguza gharama za ufuaji kwa hospitali
Ninadhani hapa utaratibu ni bora salama mkuuHizo kanga zenyewe haziwezi kuleta infection? Kama sababu ndio hiyo
Mmh unaachia tu, .............mficha uchi hazai.kwanza inatakiwa ukae uchi
Hairuhusiwi, ukiingia tu wodini utamsikia nesi "vua nguo zote "Unaweza vaa utakavyo hukatazwi ila tunaendeleza utamaduni wa wazee wetu walioasisi kanga kama vazi la mzazi
Naongelea nguo za juu, martenity dressmficha uchi hazai.kwanza inatakiwa ukae uchi
Mi sipendi hiyo makanga kangaNinadhani hapa utaratibu ni bora salama mkuu
Nao ni wale wale wanafuata ya bibi zetu ila hawana sababu yoyote ya kufanya hivyoHairuhusiwi, ukiingia tu wodini utamsikia nesi "vua nguo zote "
Sidhani kama wana sababu, mwaka juzi nlivaa kitambaa kichwani baada ya nywele kuwa vululu vululu, nlikua nmeenda wodi ya watoto kunyonyesha nikaambiwa mama vitambaa haviruhusiwi toa kitambaa kichwani, nkabaki nimetoa macho kwamba nikinyonyesha huku nna kitambaa kuna shida gani tehNao ni wale wale wanafuata ya bibi zetu ila hawana sababu yoyote ya kufanya hivyo
Hebu siku ukienda zaa[emoji2] [emoji2] au ukisindikiza mzazi[emoji106] muulize nesi kwanini tufanye hivyo usipoona anababaika tuu
Duh ulichoandika nadhani unakielewa wewe tuHaileti maana kama Labour mtapendeza na Mavazi rasmi, na mkirudi nyumbani mnaanza kupambana na hari zenu...!!
Doesn't make sense...!
Basi tuvae hata madira tu, hii kanga kanga wengine migongo ina upele, mba, chale za waganga sijui.... Aah sipendi mie
Hii ni mfano wa nguo za wagonjwa