Tatizo ni kuwa hayo madera mengine yanakwenda hospitali yakiwa machafu, kuna mikojo ya watoto na vitu kama hivyo. Ki uhalisia wazazi wangepewa nguo za hospitali.Basi tuvae hata madira tu, hii kanga kanga wengine migongo ina upele, mba, chale za waganga sijui.... Aah sipendi mie
Una maana hujui kama yale Mavazi ya Labour huwa yanawapendeza..!!?Duh ulichoandika nadhani unakielewa wewe tu
Kupewa mavazi ni ngumuTatizo ni kuwa hayo madera mengine yanakwenda hospitali yakiwa machafu, kuna mikojo ya watoto na vitu kama hivyo. Ki uhalisia wazazi wangepewa nguo za hospitali.
Inaelekea unanda huko hivi karibuniMi sipendi hiyo makanga kanga
Possible make mi ni mwanamke, na nimejaaliwa kizaziInaelekea unanda huko hivi karibuni
Antenatal classes zinatakiwa kuelekeza mambo hayo, mama anatakiwa kuandaa begi lake lenye nguo safi zilizo fuliwa na kupigwa pasi.Kupewa mavazi ni ngumu
basi hata elimu wakati wa clinic, kuwa siku ya kwenda kujifungua, beba martenity dress kadhaa zilizofuliwa na kunyooshwa, mbona kanga za maandalizi zinanyooshwa teh
Leba kushindana mavazi labda uchungu haujakukamata!Mtaanza kushindana mavazi hukohuko labour
We shika adabu yako! Uchi[emoji3]mficha uchi hazai.kwanza inatakiwa ukae uchi
Leba kushindana mavazi labda uchungu haujakukamata!
Kabisa yan unamkuta mtu kajifunga funga wwmficha uchi hazai.kwanza inatakiwa ukae uchi
Mh! Rafiki .................(itabidi ukakwendre ulopa sasa)......Hizo kanga zenyewe haziwezi kuleta infection? Kama sababu ndio hiyo
ππππHasa Muhimbili , hawaruhusu hata kujifunika mabega
Chupi yenyewe nzito Halafu mshindane mavazi hahaha uchungu ni noma weweLeba kushindana mavazi labda uchungu haujakukamata!
ushaingia huko?mficha uchi hazai.kwanza inatakiwa ukae uchi
Mbona hata private huwa naona khanga khanga tuInategemea na hospitali mae
Ukienda za ummy utapiga kanga
Ukienda za private zinazojielewa utapewa