Mavazi ya wazazi hospitali

Mavazi ya wazazi hospitali

Tatizo ni kuwa hayo madera mengine yanakwenda hospitali yakiwa machafu, kuna mikojo ya watoto na vitu kama hivyo. Ki uhalisia wazazi wangepewa nguo za hospitali.
Kupewa mavazi ni ngumu
basi hata elimu wakati wa clinic, kuwa siku ya kwenda kujifungua, beba martenity dress kadhaa zilizofuliwa na kunyooshwa, mbona kanga za maandalizi zinanyooshwa teh
 
Kupewa mavazi ni ngumu
basi hata elimu wakati wa clinic, kuwa siku ya kwenda kujifungua, beba martenity dress kadhaa zilizofuliwa na kunyooshwa, mbona kanga za maandalizi zinanyooshwa teh
Antenatal classes zinatakiwa kuelekeza mambo hayo, mama anatakiwa kuandaa begi lake lenye nguo safi zilizo fuliwa na kupigwa pasi.
 
Nadhani inategemeana na hosp. Mi mtoto wangu wakwanza nlivofika tu nguo zangu nkavua nkapewa hizo gauni.Nlikua comfortable hadi raha.
Mtoto wa pili sasa(Hosp.nyingine japo zote ni private)Nimefika nikaambiwa kuvua nguo nibaki na kanga tu.Ni shida uchungu ukichanganyia nabimbilika kanga yote chini.
Natamani wangekua tu wanatupa hizo dress kwenye hosp.zote.
 
Inategemea na hospitali mae

Ukienda za ummy utapiga kanga

Ukienda za private zinazojielewa utapewa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Bonge la mada aiseee mkuu,, bas tuu ,,nausingz ngoja ntarud kutiririkaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom