Mavazi ya wazazi hospitali

Basi tuvae hata madira tu, hii kanga kanga wengine migongo ina upele, mba, chale za waganga sijui.... Aah sipendi mie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lol
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lol
Unacheka teh, pale muhimbili ukikaa martenity block unajionea migongo ya kila aina yenye upele, yenye mba, yenye chale aah tuvae tu kwakweli
 
Na watz wengi tunavyoumwa uchungu vibaya waweza lichana gaun usikumbuke kuvua
 
Na watz wengi tunavyoumwa uchungu vibaya waweza lichana gaun usikumbuke kuvua
Sio kwamba tunaumwa vibaya, treatment nayo inachangia, wenzetu katika hali hiyo mama anajaliwa, nesi anamtreat vizuri, anapewa hata achague style ya kukaa ambayo anajisikia comfortable , tena mara nyingine anakua na mtu mume, mzazi au ndugu wa kumwangalia yani hadi raha.
Wabongo sie treatment tu ya nesi hadi unajiona leba umeenda kufa, unaumwa nesi anafoka, sauti ya juu vua nguo, panda kitandani lala ubavu, usiamke utaua mtoto hizi kauli uchungu utaacha kuzidi 😀😀
Muda huo upo mwenyewe mume nae kakimbia kusiko julikana aaaggghh tabu
 
Duuu
 
Basi kuchange mavaz pekee haitoshi inabidi tuanzie mbali vazi n karibia na jambo la mwisho
 
Basi tuvae hata madira tu, hii kanga kanga wengine migongo ina upele, mba, chale za waganga sijui.... Aah sipendi mie
Hahaha kweli kanga inakaa kilocal sana, ila kuna hosp baadhi za binafsi wanatoa madera kama haya...binafsi sijakumbana na kanga.
 
Mkuu ukiwa leba unamuwaza jamaa alipokimbilia?
Hahahaha
 
Hapo ndo tatizo lilipo Dada yangu,
we fikiria tu usafi wa chini tu wa Hosp zetu ulivyo pamoja na mashuka ya hosp, je wataweza kufua na kupiga pasi hizo nguo za labour.

Hii ni tanzania, msisahau hilo
Wanaweza vzr mkuu. Pale Bugando nilipewa nguo safi kabisa, sio kila kitu ni kibaya au haiwezekani Tanzania!!
 
Basi tuvae hata madira tu, hii kanga kanga wengine migongo ina upele, mba, chale za waganga sijui.... Aah sipendi mie

Una vituko mdogo wangu, mie nilivyoingiaga leba kwa mara ya kwanza niligoma kuvua nguo yoyote, na hapo nillikuwa ni mimi na manesi wawili tu, wale manesi wakachekaaaa, wakaniambia time ikifika utazivua mwenyewe wala hutaambiwa na mtu
 
Hahaha kweli kanga inakaa kilocal sana, ila kuna hosp baadhi za binafsi wanatoa madera kama haya...binafsi sijakumbana na kanga.
Tatizo ukienda hata na kivazi chako, utaambiwa utoe uvae kanga
 
Hosp zingine za gvt wanaruhusu tu hayo madera. Me nlijufungua nimevaa dera langu vizur tu na ni hosp ya gvt
 
Sio kuwaza alipokimbilia ila unatamani hata awepo jirani afanye massage ya kiuno teh
Hahaha, kwa hali nionayo mle ndani sidhani kama huo ujasiri wa kufanyiwa massage utakuepo
kuna dada nadhani ilikua mimba ya kwanza, kashikwa na uchungu kabeba kyupi mkononi anakimbia wodini nesi anamwambia nani kakituma ufanye sista anamjibu jamaa alimlazimisha ila yeye alikua hataki. [emoji4][emoji4][emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…