Waziri wa Madini ambaye pia ni Mbunge wa Dodoma Mjini (CCM), Anthony Mavunde amemuomba Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa chama hicho Paul Makonda kumfikikisha ujumbe kwa Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu maendeleo yaliyofanyika katika mkoa huo.
“Ametufanyia kazi Kuba kwa Kuleta miradi mingi kuanzia ngazi ya chini mpaka mkoani, naomba ukamwambie fadhila yetu tutairudisha kuanzia mwakani kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa na mwaka 2025 kwenye Uchaguzi Mkuu,” amesema Mavunde.
Mavunde ameyasema hayo leo Jumatano Novemba mosi, 2023 katika hafla ya kumpokea Katibu wa NEC, Itikadi na uenezi katika makao makuu ya chama hicho mkoani Dodoma.

Siasa imejaa unafiki na pia kama una akili ndogo kama Makonda ni rahisi kughilibiwa.
Kwa hizi salamu za kinafiki na sifa za ovyo wanamuaminisha Makonda kuwa ni wa muhimu sana lakini hapo ukipasua nyoyo za hawa wana CCM wote hakuna hata mmoja anaempenda Makonda.
Tayari ndani ya wiki tu Makonda keshajisahau na kujiona ni mkubwa sana hapa nchini kwa cheo chake kiasi cha kuanza kushurtisha watu.
Tayari keshaanza kutukana na kudhihaki wastaafu.
Mwenye asili yake haachi.