Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Kwahiyo mbinguni mwendo wa kuichapa tu mpaka iwe nyekundu 🤣
Sasa hizo mimba SI itakuwa kama ugomvi huko Mbinguni, au watakuwa wanamwaga nje
Msimpopoe sheikh.Yeye anaongea kadiri ya anayoyapata katika mafunzo yake.Anaongea kwa matao na madaha yenye msisitizo hasa.Kwahiyo mbinguni mwendo wa kuichapa tu mpaka iwe nyekundu 🤣
Sasa hizo mimba SI itakuwa kama ugomvi huko Mbinguni, au watakuwa wanamwaga nje
Kwa hiyo ni mwendo wa kutwanga mawe bila kupata matunda/matokeo?Hakuna mimba na hakuna kuingia period hujasikiliza
Hakuna kumuabudu na kumsifu Mungu.Ni kulimana tu hadi cheche zitokee.Ni raha tupu mkuu.Wanawake watakuwa hawana kazi nyingine mbinguni isipokuwa kugegedwa tu? Jamani dini hizi.
Kwa hiyo ni mwendo wa kutwanga mawe bila kupata matunda/matokeo?
Basi,si mbaya sheikh wetu Kishki akiongezewa mitano mingine.Lengo si kuzaa... Ni kuzichapa K.
Basi,si mbaya sheikh wetu Kishki akiongezewa mitano mingine.
yani ningekuwa mwanamke,halafu ni muumini wa shehe huyu, najivua hapo hapo uislamu na kuondoka, haiwezekani, kila siku swala tano,nishakuwa mweusi usoni,najinyima nisigegedwe,nafunga kula siku 30 alafu natafuta kwenda kugegedwa mbinguni. Upumbavu wa hali ya juu sana. Wanawake wanashushwa sana thamani.Aione FaizaFoxy