Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Kama wewe ni kijana na huna fursa au dalili za kufa mapema ili uwahi firdaus jannah kupata bikira utafanyaje zaidi ya kujitoa mhanga katika jihad?Kujipua haisuiani na pepo wapi , wapi wameandika jilipue ili upate pepo ?
Unataka kutuambia pepo kwa mujibu wa mafundisho ya Uislamu yanataka kujipua tu ndio uende peponi ?