Mama kama hawa Mungu awabariki sana.21 October 2020
Chato, Geita
Tanzania
Mawakala wa Chato, mkoani Geita watoa tamko, hatujaapishwa
Mkoa wa Geita upo Magharibi mwa Tanzania na Chato ndiyo nyumbani kwa mgombea nafasi ya urais 2020 John Pombe Joseph Magufuli ambaye anawania nafasi hiyo kupitia chama cha CCM.
Source: Swahili Villa
Hao wasimamizi ni maounguani. Yaani kukata kuapisha ndio wanaona wamepatia?? Yaani hata akili tu za kitoto zinaona kuwa ni mbinu ovu wazi wazi21 October 2020
Chato, Geita
Tanzania
Mawakala wa Chato, mkoani Geita watoa tamko, hatujaapishwa
Mkoa wa Geita upo Magharibi mwa Tanzania na Chato ndiyo nyumbani kwa mgombea nafasi ya urais 2020 John Pombe Joseph Magufuli ambaye anawania nafasi hiyo kupitia chama cha CCM.
Source: Swahili Villa
Mziki ni mwingine leo!! 😅😅😅21 October 2020
Chato, Geita
Tanzania
Mawakala wa Chato, mkoani Geita watoa tamko, hatujaapishwa
Mkoa wa Geita upo Magharibi mwa Tanzania na Chato ndiyo nyumbani kwa mgombea nafasi ya urais 2020 John Pombe Joseph Magufuli ambaye anawania nafasi hiyo kupitia chama cha CCM.
Source: Swahili Villa
Alikuwa anajaribu kumfurahishi boss wake amejikuta amekoroga hadi bosi kaaibikaNipo chato..
Msimamizi wa uchaguzi jimbo la chato umefanya ujinga mkubwa sana ambao haujawai kutokea tangu Dunia inaumbwa
Ni ibilisiHuyu jamaa akitawala tena miaka 5 tutalimia ulimi badala ya meno tuliolimia miaka 5 iliyopita.
Halafu kama tutaruhusu atawale tena miaka 5 atabomoa ndoa zetu badala ya nyumba zetu. Maana hali itakuwa ngumu balaa. Hela yote anaipeeleka kwenye reli.
Umechangia bei gani nikurejeshee kupitia , maana kuhusu hela sina wasiwasi , maana kama wanachama walikuwepo wengi sana na wameondoka akiwemo Slaa na Lijuakali , na wameondoka lakini sisi bado tupo , japo hujui majukumu yetu lakini unatuita washabiki ! yaani hata sifahamu unapigania nini ?Mimi ni mwanachama wa ukweli na mchangiaji mzuri wa maarifa na centi, ila ni mpenzi, sio mshabiki.
Na Jiwe ni gari la mkaaCCM ni chama dhaifu sana
Jiwe ni Rais wa hovyo haijawahi kutokea Tanzania. Hivyo tulivuta bangi ya wapi mwaka 2015? Mingine 5 tena asahau kabisa.21 October 2020
TUNDU LISSU AMVAA MSIMAMIZI WA UCHAGUZI CHATO "ACHUKULIWE HATUA ZA KINIDHAMU"
Chato ni nyumbani kwao mgombea wa urais John Pombe Joseph Magufuli. Na mkurugenzi wa Halmashauri ya Chato yaani DED ndiyo msimamizi wa uchaguzi Chato pia ni mmojawapo wa wateuliwa wa Rais Magufuli.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi pia Mwenyekiti wake, Makamu Mwenyekiti , Wajumbe wa Tume na Mkurugenzi ni wateuliwa wa Rais.
Wewe upo dunia ipi?Hujaona hii barau alioandika?Amefanyaje mkuu
Hujaeleweka bado...Mimi ni mwanachama wa ukweli na mchangiaji mzuri wa maarifa na centi, ila ni mpenzi, sio mshabiki.