oscar classic
JF-Expert Member
- Mar 21, 2020
- 731
- 1,367
Kuhusu wakala kupiga pesa hii hapana, maana gawio kwa Wakala halijaongezeka na hiyo pesa iliyoongezeka ni tozo ya serikali,Hapa kuna mara mbili wakala kupiga pesa au kukosa wateja
Wakala atapiga sababu wengi wa wateja hawatatuma pesa tena kwenye mitandao yao. Watampelekea wakala akatumeKuhusu wakala kupiga pesa ii hapana ,maana gawio kwa Wakala halijaongezeka na iyo pesa iliyoongezeka ni tozo ya serikali,
Sanasana atakosa wateja maana makato ni makubwa.
Wakala atapiga sababu wengi wa wateja hawatatuma pesa tena kwenye mitandao yao. Watampelekea wakala akatume
[emoji848]View attachment 1853651
Mkuu, bado kuna tatizo. Huyo aliyetumiwa, naye atakatwa kiasi kikubwa wakati wa kutoa!Wakala atapiga sababu wengi wa wateja hawatatuma pesa tena kwenye mitandao yao. Watampelekea wakala akatume
Kwanza watu wengi hata kabla ya izi tozo walikuwa wanatuma pesa kwa mawakala,Wakala atapiga sababu wengi wa wateja hawatatuma pesa tena kwenye mitandao yao. Watampelekea wakala akatume
Yeah!! Yaani shida bado iko palepale tuMkuu, bado kuna tatizo. Huyo aliyetumiwa, naye atakatwa kiasi kikubwa wakati wa kutoa!
Wanataka watu wote wakimbilie bankiHiyo ndiyo bajeti ya mchumi gredi one. Namtumia mama yangu kijijini 1milion unakata 10k, mama anaenda kutoa pesa hiyo hiyo unakata tena 10k. Kwa nini nisitumie benki kutuma?
Hakuna Mzee!!Kwani kwenye hizo tozo mpya hakuna percent iliyo rise kuwanufaisha mawakala?
Kijijini kuna bank?Hiyo ndiyo bajeti ya mchumi gredi one. Namtumia mama yangu kijijini 1milion unakata 10k, mama anaenda kutoa pesa hiyo hiyo unakata tena 10k. Kwa nini nisitumie benki kutuma?
Ndiyo tuna CRDB na NMB bossKijijini kuna bank?