Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,635
- 4,160
Lete mbinu ya kupiga pesa bila kutegemea kamisheni ya mtandao mkuu.Dah kama bado unafanya uwakala wa kutegemea commission za mitandao,imekula kwako.Sa hivi pesa ndio inapigwa maana profit margin imeongezeka