Mawakili mkasome katiba ya FIFA, Uchaguzi mkuu TFF

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi Mkuu wa TFF, Wakili Kiomoni Kibamba, ameshangazwa na baadhi ya mawakili wanaopinga uamuzi wa Kamati hiyo kuwaengua wagombea wanne wa urais wa TFF.

Wakili Kibamba amewataka mawakili hao kupitia upya Ibara ya 14 ya Kanuni za FIFA (toleo la mwaka 2024), inayowataka wanachama wote wa FIFA kufuata miongozo, kanuni na maamuzi ya FIFA pamoja na uamuzi wa Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS).

“Huwezi kutumia sera bila kuzingatia kanuni za FIFA na TFF. Mpira una taratibu zake. Nawashauri mawakili wasome, waelewe na waache kukurupuka,” amesema Kibamba.

Soma,Pia: Kwanini kamati ya uchaguzi TFF imetupilia mbali rufaa ya Yanga kupinga Karia kugombea?

Amefafanua kuwa, sifa ya kugombea nafasi ya Urais wa TFF ni; lazima mtu awe mwanachama halali kupitia moja ya makundi yafuatayo: Klabu 16 za Ligi Kuu, Vyama vya Soka vya Mikoa pamoja na Wanachama wa TFF kama Chama cha Wachezaji wa zamani, Chama cha Madaktari wa Soka, Chama cha Soka la wanawake, Chama cha Waamuzi, pamoja na Chama cha Makocha.

Kamati hiyo sasa imebaki na jina moja pekee katika kinyang’anyiro cha urais, Wallace Karia, ambaye anawania kutetea nafasi hiyo.
 
Kibamba na genge lake watakuwa hawa elewi Jambo moja la msingi , ambalo, lipo Tiefuefu na halipo FIFA.
1. Sheria au kanuni yeyote ambayo inazuia uchaguzi huru au demokrasia ni batili ab intio.
2.endorsement iliyopo FIFA sio ya mtu moja kuchukua endorsement zote, hivyo ina wapa nafasi wengine kugombea.
3. Ikiwa yeye Kibamba anaona kwamba kuchukuliwa hizo endorsement zote ni halali, sasa basi hakuna haja ya uchaguzi, na huo Mkutano Mkuu wa uchaguzi, Kwa sababu hawa wanao endorse wagombea wanakuwa wame poka Haki ya wapiga kura nafasi ya kufanya kazi yao, wanakuwa kama mazezeta flani hivi.
4. Areje pia Maamuzi yalio fikiwa na Tz kuhusu wagombea kupita bila kupingwa.
 
Huyo mwenyekiti hajui kuhusu sera ya michezo Tanzania swali fikirishi je hiyo TFF usajili wake uko FIFA, Tanzania upumbavu ni kipaji mpumbavu ni mtu aliyebobea kwenye jambo fulani lakini hatekelezi majukumu yake kwa weledi, a.k.a hujizima data ili kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi
 
Kwa mantiki hiyo inadhihirisha kwamba yanga wenye akili ni wawili tu.......Kwa maana kama klabu mzima iliweka kipingamizi cha kumzuia kalia asigombee bila kusoma taratibu za TFF na fifa......aisee hii timu wamejazana vihiyo kabisa......
 
Endeleeni ya ujinga wenu ndio maana mliletewa Manzoki kwenye uchaguzi, unataka kuniambia nchi hii mweye vigezo vya kua Rais wa TFF ni Karia peke yake?
 
Kwa mantiki hiyo inadhihirisha kwamba yanga wenye akili ni wawili tu.......Kwa maana kama klabu mzima iliweka kipingamizi cha kumzuia kalia asigombee bila kusoma taratibu za TFF na fifa......aisee hii timu wamejazana vihiyo kabisa......
Kila kesi wanayoianzisha utopolo wanaangukia pua.
 
TFF wakajisajili FIFA tuone kama wataweza kuendesha mpira Tanzania TFF kwasasa ni kundi la .............. A bunch of th..gs
 
Nilivyoona Aloyce Komba yuko kwenye kundi la mawakili nikadharau kundi hilo
 
Kibamba na genge lake watakuwa hawa elewi Jambo moja la msingi , ambalo, lipo Tiefuefu na halipo FIFA.
1. Sheria au kanuni yeyote ambayo inazuia uchaguzi huru au demokrasia ni batili ab intio.
2.endorsement iliyopo FIFA sio ya mtu moja kuchukua endorsement zote, hivyo ina wapa nafasi wengine kugombea.
3. Ikiwa yeye Kibamba anaona kwamba kuchukuliwa hizo endorsement zote ni halali, sasa basi hakuna haja ya uchaguzi, na huo Mkutano Mkuu wa uchaguzi, Kwa sababu hawa wanao endorse wagombea wanakuwa wame poka Haki ya wapiga kura nafasi ya kufanya kazi yao, wanakuwa kama mazezeta flani hivi.
4. Areje pia Maamuzi yalio fikiwa na Tz kuhusu wagombea kupita bila kupingwa.
Hapa mtapiga kelele tu..yanayofanyika huko ccm kumpitisha mgombea mmoja ndo haya haya yanafanyika huku..so hakuna jipya
 
Back
Top Bottom