City Of Lies
Platinum Member
- Sep 8, 2011
- 6,073
- 7,997
Wewe ni nani mpaka ujue kila kitu!Usinisumbie bwana. Kama unajua kuliko mimi, haya. Hongera! 👏👏👏👏
Wendelea kupambana na CDM huna lolote
Wewe ni nani mpaka ujue kila kitu!Usinisumbie bwana. Kama unajua kuliko mimi, haya. Hongera! 👏👏👏👏
Huu uchafu wa TFF ni kinyaa, Wallace Karia ni zaidi ya shetani, hilo linalobwabwaja sijui kwanini halioni ht aibu? Eti wakili? Huyo ndio mbwa koko mwenyewe. Kwanini mtu moja achukue endorsement zote na zinatakiwa 5 tu? Utafikiri tunaishi nchi ya kufikirika, TFF si iko chini ya wizara? Kwa maana ya serikali? Huo uchaguzi ubatilishwe mchakato uanze upya. Hv Karia ni mtanzani kweli? Yule jamaa ana roho mbaya sana km mtutsi.Kibamba na genge lake watakuwa hawa elewi Jambo moja la msingi , ambalo, lipo Tiefuefu na halipo FIFA.
1. Sheria au kanuni yeyote ambayo inazuia uchaguzi huru au demokrasia ni batili ab intio.
2.endorsement iliyopo FIFA sio ya mtu moja kuchukua endorsement zote, hivyo ina wapa nafasi wengine kugombea.
3. Ikiwa yeye Kibamba anaona kwamba kuchukuliwa hizo endorsement zote ni halali, sasa basi hakuna haja ya uchaguzi, na huo Mkutano Mkuu wa uchaguzi, Kwa sababu hawa wanao endorse wagombea wanakuwa wame poka Haki ya wapiga kura nafasi ya kufanya kazi yao, wanakuwa kama mazezeta flani hivi.
4. Areje pia Maamuzi yalio fikiwa na Tz kuhusu wagombea kupita bila kupingwa.
Msajili wa Vyama vya michezo ndio anatakiwa kuwa anapata mrejesho toka vyama husika, kama mahesabu, kanuni za uendeshaji n.k , ambaye hatimaye humpatia Katibu Mkuu wa wizara ripoti.Huu uchafu wa TFF ni kinyaa, Wallace Karia ni zaidi ya shetani, hilo linalobwabwaja sijui kwanini halionj ht aibu? Eti wakili? Huyo ndio mbwa koko mwenyewe. Kwanini mtu moja achukue endorsement zote na zinatakiwa 5 tu? Utafikiri tunaishi nchi ya kufikirika, TFF si iko chini ya wizara? Kwa maan ya serikali? Huo uchaguzi ubatishwe mchakato uanze upya. Hv Karia ni mtanzani kweli? Yule jamaa ana roho mbaya sana km mtutsi.
Najua mengi sana Dogo.Wewe ni nani mpaka ujue kila kitu!
Wendelea kupambana na CDM huna lolote
Huyu mwenyekiti kumbe ni kishoka🤣🙌Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi Mkuu wa TFF, Wakili Kiomoni Kibamba, ameshangazwa na baadhi ya mawakili wanaopinga uamuzi wa Kamati hiyo kuwaengua wagombea wanne wa urais wa TFF.
Wakili Kibamba amewataka mawakili hao kupitia upya Ibara ya 14 ya Kanuni za FIFA (toleo la mwaka 2024), inayowataka wanachama wote wa FIFA kufuata miongozo, kanuni na maamuzi ya FIFA pamoja na uamuzi wa Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS).
“Huwezi kutumia sera bila kuzingatia kanuni za FIFA na TFF. Mpira una taratibu zake. Nawashauri mawakili wasome, waelewe na waache kukurupuka,” amesema Kibamba.
Soma,Pia: Kwanini kamati ya uchaguzi TFF imetupilia mbali rufaa ya Yanga kupinga Karia kugombea?
Amefafanua kuwa, sifa ya kugombea nafasi ya Urais wa TFF ni; lazima mtu awe mwanachama halali kupitia moja ya makundi yafuatayo: Klabu 16 za Ligi Kuu, Vyama vya Soka vya Mikoa pamoja na Wanachama wa TFF kama Chama cha Wachezaji wa zamani, Chama cha Madaktari wa Soka, Chama cha Soka la wanawake, Chama cha Waamuzi, pamoja na Chama cha Makocha.
Kamati hiyo sasa imebaki na jina moja pekee katika kinyang’anyiro cha urais, Wallace Karia, ambaye anawania kutetea nafasi hiyo.