Mawakili mkasome katiba ya FIFA, Uchaguzi mkuu TFF

Huu uchafu wa TFF ni kinyaa, Wallace Karia ni zaidi ya shetani, hilo linalobwabwaja sijui kwanini halioni ht aibu? Eti wakili? Huyo ndio mbwa koko mwenyewe. Kwanini mtu moja achukue endorsement zote na zinatakiwa 5 tu? Utafikiri tunaishi nchi ya kufikirika, TFF si iko chini ya wizara? Kwa maana ya serikali? Huo uchaguzi ubatilishwe mchakato uanze upya. Hv Karia ni mtanzani kweli? Yule jamaa ana roho mbaya sana km mtutsi.
 
Msajili wa Vyama vya michezo ndio anatakiwa kuwa anapata mrejesho toka vyama husika, kama mahesabu, kanuni za uendeshaji n.k , ambaye hatimaye humpatia Katibu Mkuu wa wizara ripoti.
 
Huyu mwenyekiti kumbe ni kishokaπŸ€£πŸ™Œ
 
TFF inakubaliwa kuwa mwanachama wa FIFA iwapo inafuata sheria za Tanzania; ikiuka sheria za Tanzania basi inakosa sifa ya kuwa mwanachama wa FIFA. Ina maana kuwa ikikuka sera za BMT inakuwa inakosa sifa za kuwa mwanachama wa FIFA
 
Ilituchukua miaka 59 (1961-2020) kujenga vituo 8,783 vya kutolea huduma za afya.

Mama ametumia miaka minne (2021-Aprili 2025) kujenga vituo 4,063.

Kwa miaka 10, atajenga vituo sawa na tulivyojenga tangu uhuru.

#TikiKwaSamia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…