Mawakili wa CHADEMA kama wangekuwa sio wa kujitolea, wangekuwa tayari wamefukuzwa kazi mapema sana.

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Wote wanafanana, wale waliosoma nje na wale waliosoma hapahapa nyumbani - wote wana uwezo mdogo sana.

Huwa wanakuwa na uwezo mkubwa wanapokuwa twitter, baada ya kugoogle sheria mtandaoni na kutweet, lakini wakiwa mahakani ni lazima wateja wao walale mahabusu au wapate kifungo kabisa.

Lema, Mdee, Mbowe, Msigwa, Lijualikali, Sugu nk wote hawataki kabisa kuwasikia hawa mawakili sema ndio hivyo tena hawana la kufanya, ni msimamo wa chama kuwatumia hawa wa kujitolea na wanachama wamechoka kuchangia hizi kesi za kujitolea.

Hawa watu uwezo wao wa kushinda kesi bado ni mdogo sana, sio Jebra, sio Karume Fama, wala Kibatala.

Mbowe angekuwa nje muda mrefu kama kesi yake ingesimamiwa na msomi Msando.
 
Kama ingesimamiwa na Msando au ulikuwa unataka kusema Tundu Lissu?
 
Kwahiyo msagasumu unataka kumwaga sumu gani?
 
Kwahiyo Msagasumu mnabambikia mkiamini kuwa karibuni watakuwa huru au mawazo yako ni yapi hapa?
 
Uwezo wao ni wakuchukulia watu dhamana vituoni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…