Mawakili wa DKT. Rugemeleza Nshala wadai Askari wamepekua maktaba ya mteja wao kinyume cha Sheria

Yale Yale ya kesi ya Mbowe, Hawa polisi sijui chuoni Huwa wanasomea nini yaan hakuna weledi kabisa
 
Serikali ijibu hoja. Irekebishe IGA, simple, Sio kuwasakama wazalendo.
 
Hao si polisi ni Makada wa chama cha madalali
Historia haitafutika kwamba walitumikia
chama cha mambuzi na si wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…