Mawakili wa Dkt. Wilbroad Slaa, Boniface Mwabukusi na Mdude Nyagali wamefungua kesi kuwashitaki AG, IGP, DPP, RCO-Mbeya na OCS wa Central Polisi Mbeya

Mawakili wa Dkt. Wilbroad Slaa, Boniface Mwabukusi na Mdude Nyagali wamefungua kesi kuwashitaki AG, IGP, DPP, RCO-Mbeya na OCS wa Central Polisi Mbeya

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Hii ndio taarifa inayopatikana mitandaoni usiku huu na hatua hii ni kutokana na washitakiwa hao kuendelea kushikiliwa bila kufikishwa mahakamani jambo ambalo ni kinyume na sheria.
---

Mawakili wa Wilbroad Slaa, Boniface Mwabukusi na Mdude Nyagali wamefungua (Habeas Corpus) kuwashtaki AG, IGP, DPP, RCO-Mbeya, OCS-Central Police Mbeya kwa kuendelea kuwashikilia wateja wao kinyume na taratibu za kisheria.

Ombi la mawakili hao ni wateja wao wafikishwe mahakamani.

20230817_221801.jpg
 
Hii ndio taarifa inayopatikana mitandaoni usiku huu na hatua hii ni kutokana na washitakiwa hao kuendelea kushikiliwa bila kufikishwa mahakamani jambo ambalo ni kinyume na sheria.
Wamefungua kesi mahakama ipi? Ile iliyotoa hukumu ya Kesi ya Bandari mkasema hiyo mahakama haiko huru?

Au wamefungua kesi kwenye mahakama tofauti na hiyo?
 
Huku chaneli fulani ikisema Mawakili wamemuangukia rais kwenye sakata hilo
 
Back
Top Bottom