Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Utashangaa kesho wanapelekwa mahakamani. Hii ndio CCM yenu.Kumekucha
Kumbe wewe ni mwanaCCM!!!!! DahUtashangaa kesho wanapelekwa mahakamani. Hii ndio CCM yenu.
Ndio ulivyoelewa!!!!Kumbe wewe ni mwanaCCM!!!!! Dah
Wewe unataka wapelekwe lini?Utashangaa kesho wanapelekwa mahakamani. Hii ndio CCM yenu.
Wangekuwa hawana nia ya kutesa watu, si wangewakamata baada ya kukamilisha upelelezi?Wewe unataka wapelekwe lini?
Wamefungua kesi mahakama ipi? Ile iliyotoa hukumu ya Kesi ya Bandari mkasema hiyo mahakama haiko huru?Hii ndio taarifa inayopatikana mitandaoni usiku huu na hatua hii ni kutokana na washitakiwa hao kuendelea kushikiliwa bila kufikishwa mahakamani jambo ambalo ni kinyume na sheria.
Hiyo inafanyika Kenya!Wangekuwa hawana nia ya kutesa watu, si wangewakamata baada ya kukamilisha upelelezi?
Wehigadhiwa sehemu salama 🤣🤣Wangekuwa hawana nia ya kutesa watu, si wangewakamata baada ya kukamilisha upelelezi?
NI Mbeya(wametumia utaratibu wa Habeas Corpus).Wamefungua kesi mahakama ipi? Ile iliyotoa hukumu ya Kesi ya Bandari mkasema hiyo mahakama haiko huru? Au wamefungua kesi kwenye mahakama tofauti na hiyo?
Unataka aingilie mahakama?Neno moja tu la Mama litamaliza yote haya
Muulize Rostam atakujibu vizuri.Unataka aingilie mahakama?
Hamna cha Rostam wala nini.Muulize Rostam atakujibu vizuri.