Mawakili wa Dkt. Wilbroad Slaa, Boniface Mwabukusi na Mdude Nyagali wamefungua kesi kuwashitaki AG, IGP, DPP, RCO-Mbeya na OCS wa Central Polisi Mbeya

Hii ndio taarifa inayopatikana mitandaoni usiku huu na hatua hii ni kutokana na washitakiwa hao kuendelea kushikiliwa bila kufikishwa mahakamani jambo ambalo ni kinyume na sheria.
Utawala wa Sheria kwa nchi hii hautakuwepo na lazima kinukishwe ndio utawala wa sheria uwepo vinginevyo tutaelendela kulalamika tu
 
Hii ndio taarifa inayopatikana mitandaoni usiku huu na hatua hii ni kutokana na washitakiwa hao kuendelea kushikiliwa bila kufikishwa mahakamani jambo ambalo ni kinyume na sheria.
Mawakili ndio kada pekee Nchi hii inajielewa sana.

Ndio maana wana hela.
 
Alafu ukute mjinga fulani kutokea sijuhi wapi huko kuja na kusema nchi za magharibi ndio tatizo kuu la Muafrika.

Cc. Ibrahim Burkina Faso
Huwa wanatumia misemo hiyo kuhadaa watu maskini wa Kipato na kiroho. Yaani watu duni.
 
Safi sana wanaleta mchezo na maisha ya watu wanafikiria familia zao zinajisikiaje mmewashikilia ndugu zao muda wote huo na hakuna kinachoendelea
 
Huku chaneli fulani ikisema Mawakili wamemuangukia rais kwenye sakata hilo
Jeshi la Polisi limesikitishwa sana na kitendo cha Mhalifu Wilbroad Slaa kusitisha Mgomo wa kula na kuwashauri Mahabusu kuwa na msimamo katika yale wanayoyasimamia ili kuliwezesha Jeshi kujikita kwmy mambo mengine
 
Mungu sauti ya hawa mawakili naomba iwe sauti yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…