Mawakili wa Dkt. Wilbroad Slaa, Boniface Mwabukusi na Mdude Nyagali wamefungua kesi kuwashitaki AG, IGP, DPP, RCO-Mbeya na OCS wa Central Polisi Mbeya

Jeshi la Polisi limesikitishwa sana na kitendo cha Mhalifu Wilbroad Slaa kusitisha Mgomo wa kula na kuwashauri Mahabusu kuwa na msimamo katika yale wanayoyasimamia ili kuliwezesha Jeshi kujikita kwmy mambo mengine
Devils advocate.....mlitaka.kumpa sumu?
 
Kweli, wameonesha mshikamano kumpigania mwenzao hii ndio kada inayojitambua.

Imagine ndio angekuwa mwl.kadandiwa na wenyemamlaka walahi nawaambia wangejitokeza walimu wenzake kumtolea ushahidi dhidi yake ili afungwe[emoji1787][emoji1787]
Mwl wenzao wengemwambia ameyataka mwenyewe akina Mpwayungu village
 
Hawa mawakili kiingereza kinawapa tabu.
Kwenye hati ya mashtaka kuna Regional Criminal Officer badala ya Regional Crime Officer.
Wanamshtaki nani?Kwa sababu hamna cheo kinachoitwa Regional Criminal Officer.
 





Tanzania watu wanadhani wanaweza jiropokea tu bila ya madhara; ni maneno tu kama hayo nchi ambazo tunaziita zina democracy US, U.K., Germany na kwingine ukienda google utakuta watu wamekutana na mkono wa sheria kwa kuropoka tu ujinga hadharani.

Leo tu Texas mama wakizungu sasa hivi yupo rumande kisa kamtishia judge state nyingine kabisa anaesikiliza kesi ya Trump.

Acheni kujazana ujinga mambo mengine yana madhara halafu yakiwakuta mnaonewa.
 
Reactions: Tui
Hapo wamechelewa Kuwapeleka Mahakamani kwasababu ya kupanga utetezi wa uwongo ambao baadaye wakihojiwa na Mawakili wa utetezi wanaanza kutia aibu serikali mbele ya Umma.
 
Du.....Mbeya kweli wanajielewa!
 
Mambo ni hot
 
Hakuna ubishi kuwa hali ya kisiasa nchini imeyumba na kupwaya sana, nyufa zilizokuwa zikionekana na kufumbiwa macho zamani sasa zinazonekana na kusemwa wazi wazi. Kulazimisha kuendelea na mfumo tulio nao ni kuahirisha au kurefusha mgogoro.

Sidhani kama kuna namna nyingine ya kuinusuru nchi zaidi ya kuanza upya mchakato wa kuandika katiba mpya. Kwenye mchakato huu, tuhakikishe kuwa Tanganyika inakuwa na mamlaka zake kiutawala kama ilivyo Zanzibar.

Mambo ya muhimu ya kuzingatia kwenye mchakato huu wa kujitawala upya, nashauri, ardhi iwe chini ya umiliki wa kila mtanzania tofauti na ilivyo sasa, ambapo ardhi kama urithi wa binadamu tunaikabidhi kwa Serikali ambayo inakuja kutoza kitu wanachoita pango la ardhi.
 
Perfect💯
 
Watanzania hawajaridhika na Mkataba wa Bandari ya salama. Serikali isione haya kuachana na Waarabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…