Mawakili wa Serikali kuweni makini sana kwenye kesi ya Mbowe na wenzake


Unaamini aliondoshwa na Mungu, basi kweli kuna miungu wengi!
 
Sasa unasema wajitahidi kubumba kesi kwa akili? Nawe sijakuelewa
 
Kuwaambia "KUWENI MAKINI" tu, mimi nadhani haitoshi na haiwasaidii kujua makosa yao kwa sababu mpaka hatua hiyo wenzako wanajua kila wafanyalo liko sahihi...

Nafikiri, ingekuwa jambo jema sana uchambuzi wako Prof Koboko ungejikita kwenye mapungufu yao na namna ya kurekebisha...

Au ndiyo kama wale wasemao, "...aaah, anajua makosa yake na kama hajui shauri lake....!!???"
 

Ntakua wa kwanza kutoa iyo sadaka.hakua mtu yule.roho mbaya alafu eti anatetea wanyonge
 
Na wewe,mpaka uambiwe??huoni makosa???
 
Kuna mambo matatu yanakuja mbele kwenye kesi hii, hasa hukumu

1. Hata kama serikali ya ccm itashindwa
Kwa uwazi kabisa,italazimisha
Mbowe afungwe,ikijua hakuna
Mamlaka itakayo wahukumu

2. Kuwahonga mawakili wa mbowe
3. Mawakili kutishiwa na serikali

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ndiyo zaidi ya shetani kwa kuwauzia watz madawa ya kulevya ikiwemo vyeti feki. Huwezi kumsahau alichokufanya mpaka utakufa unamkumbuka tu. Mwenzako kazi alishamaliza wewe endelea kuhangaika tu.
Meko alikuwa zaidi ya shetani..
Mungu ni mwema sana, akalifyekelea mbali ..muuwaji mkubwa yule..
Wapi umewahi kuona mtu anakufa Nchi inalipuka kwa shangwe..?!
Kama inakuuma kajining'inize kwenye mti umfuate huko jehanam.
 
Lakini kwa wale wanaoamini kwamba hii serikali imepanga kumfunga Mbowe kwa njia yoyote ile je, tujiulize hii serikali itajihami vipi kiuchumi kutokana na ukweli kwamba wafadhili wao hawataunga mkono hatua hiyo?

Tunaona tu pale Sudan sasa hivi jinsi Jenerali Al Burhan alivyo na wakati mgumu hadi anamlamba miguu waziri mkuu aliyemuangusha akimuomba akubali kuongoza serikali mpya ya mpito na hii ni baada ya Marekani na World Bank kuiondolea Sudan ufadhili.

Sasa ndipo mimi ninapojiuliza, hii serikali ya kichovu ya Tanzania itahimili vipi mazingira magumu kama hayo ya kuondolewa ufadhili na ikumbukwe vema kwamba moja ya sababu zilizofanya Samia akataliwe na utawala wa Biden ni swala la hii "Kesi".

Ukweli ni kwamba kupanda kwa gharama ya maisha tunayo shuhudia sasa kwa kiasi kikubwa inasababishwa na kupungua kwa "The Donor Support" toka wakati wa utawala wa Magufuli hadi leo na inaonekana kwenye utawala huu wa Samia hali itakuwa mbaya zaidi kwa sababu amedanganywa aweke maslahi yake na chama chake juu ya maslahi mapana ya taifa. Tusubiri tuone.
 
Maagizo ya bibi ushungi
 
Wewe ndiyo zaidi ya shetani kwa kuwauzia watz madawa ya kulevya ikiwemo vyeti feki. Huwezi kumsahau alichokufanya mpaka utakufa unamkumbuka tu. Mwenzako kazi alishamaliza wewe endelea kuhangaika tu.
Alitaka kumaliza ushetani wake Sir God akampa red card! akarudi zake kuzimu ya ziwa la moto! Jamaa linaungua si mchezo!! Nyie vishetani vidogo vidogo hamna impact tena!
 
Kujikita kwenye makosa ya wanasheria wa serikali ni kazi ya ziada, kila mstari wao kuna tatizo, ataweza?
 
Kuanzia Shahid wa kwanza hadi wa 6, kula Shahid maelezo yake yanapishana na yale ya awali... utetezi wao ni typing error 🙄
 
Umeongea ushuzi mkubwa.....
 
Meko alikuwa zaidi ya shetani..
Mungu ni mwema sana, akalifyekelea mbali ..muuwaji mkubwa yule..
Wapi umewahi kuona mtu anakufa Nchi inalipuka kwa shangwe..?!
Kama inakuuma kajining'inize kwenye mti umfuate huko jehanam.
Magu alitindua tigo yako!!.??
una hasira kisirani na chuki
 
Kumfanya kila mtu adanganye n kaz ngumu , Tuwaonee huruma hao wanasheria wa cri-kali maan kuufany uongo uonekan ukwelii dah


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…